Tanzania imeingia je hapa? Mbona comment yako na kinachoongelewa haviendani? Au wewe ndo upo damped cjakusoma?
View attachment 82960
huuu ndo mtihani wa mwanafunzi wa mwaka wa tatu........!!! kwa computer science kwa hali hii kweli tutafika....... ingekuwa pouwa sana kama serikali itavifungia vyuo vya kizembe kama hivi coz havina tija kwa watanznia
kama ndo hivi bora nisubil mwakani niame chuo
Ahahahaaa. Acha woga mkuu hizo ni jokes tu. Sidhani kama chuo kama kile kinaweza kua na pepa kama hili
kumbe ila nilipata tetesi kuhusu hiki chuo
acha utani ndugu yangu!