Uchaguzi 2020 Maajabu ya kampeni za CCM, Dkt. Magufuli atema cheche

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.

Kampeni zikiendelea, mgombea wa CCM ameonyesha alivyodhamiria kuiboresha nchi vilivyo hata kuwa na barabara bora kabisa:

Your browser is not able to display this video.

Hata hivyo barabara hii ilikuwapo pia katika ahadi za 2015. Si haba, "chelewa ufike" japo waswahili pia husema "ng'ombe hanenepi siku ya mnada."

Kuhusiana na raslimali za taifa. Msomi mzamivu huyu mwenye shahada ya PhD, hakumung'unya maneno hata kidogo:

Your browser is not able to display this video.



Maendeleo hayana chama.

Ninawasilisha.
 
Sina muda wa kusikiliza ujinga mimi?
 

Hivi ile kofia yake ndio hiyo aliyovaa bodyguard au zipo nyingi na yeye kwa wakati huo alikuwa amevua?
 
Sina muda wa kusikiliza ujinga mimi?
Ispokuwa maneno mataamu ili ujisikie kama upo mahali Fulani hivi pazuuuri ukisubiri Moto wa Jehanam siyo?

Maneno matamu mtayasikia Sana, tegeni masikio msiklize kile mnapenda wakati huu, na mwisho wa maneno matupu ni 28 October, Baada ya hapo Bulldozer linaendelea na kazi kama kawaida
 

Baada ya kukwiba uchaguzi siyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…