Uchaguzi 2020 Maajabu ya kampeni za CCM, Dkt. Magufuli atema cheche

Uchaguzi 2020 Maajabu ya kampeni za CCM, Dkt. Magufuli atema cheche

Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.

Kampeni zikiendelea, mgombea wa CCM ameonyesha alivyodhamiria kuiboresha nchi vilivyo hata kuwa na barabara bora kabisa:

Hata hivyo barabara hii ilikuwapo pia katika ahadi za 2015. Si haba, "chelewa ufike" japo waswahili pia husema "ng'ombe hanenepi siku ya mnada."

Kuhusiana na raslimali za taifa. Msomi mzamivu huyu mwenye shahada ya PhD, hakumung'unya maneno hata kidogo:

Maendeleo hayana chama.

Ninawasilisha.
Yote tukose kwasasa tunataka uhuru na kututolea uonevu
 
2030 akimaliza muda wake inabidi mumubane sawasawa ili azirudishe. Atawarudishia baada ya 2030 kwa sababu wakati huo atakuwa amebaki peke yake bila walinzi

Ana mpango wa kuwapo kwa miaka 15?

Maajabu ya Firauni.

Huyu no wa kuzaa naye sasa.
 
Tangu vyama vingi vianze TZ Kuna mpinzani gani hakwenda ikulu kisa aliibiwa kura!!?

MAGUFULI4LIFE.

Unauliza maswali au unauliza majibu?

Tukianzia Zanzibar: Maalim Seif. Tukirejea huku waulize kina jiwe wakwambie kama walishinda.

Ndiyo maana mnataka sasa huyu abakie for Life yaani awe wa maisha?
 
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.

Kampeni zikiendelea, mgombea wa CCM ameonyesha alivyodhamiria kuiboresha nchi vilivyo hata kuwa na barabara bora kabisa:

Hata hivyo barabara hii ilikuwapo pia katika ahadi za 2015. Si haba, "chelewa ufike" japo waswahili pia husema "ng'ombe hanenepi siku ya mnada."

Kuhusiana na raslimali za taifa. Msomi mzamivu huyu mwenye shahada ya PhD, hakumung'unya maneno hata kidogo:

Maendeleo hayana chama.

Ninawasilisha.
Na ule ufisadi aliofanyia kujenga uwanja wa ndege Chato kila Mtanzania ameibiwa
 
Unadhani hiyo 2030 ni makosa?

Mbona ipo kwenye mabandiko yao mengi tu?

Siri yao twaijua huyu tunakula naye sahani moja sasa!
Haliki huyu kwa sasa. Gogogo huwa hamezwi na sangara hata siku moja
 
Ufafanuzi zaidi tafadhali.
Kwa hali ya nchi yetu ilivyo sasa hivi, wapinzani hata ukiamua kuwapatia nchi ili washike madaraka hata bila ya wao kupigiwa kura ya ushindi, wataikataa. Wao wenyewe wanaelewa hili, ila mashabaiki wao ndiyo ambao hawajui hili. Wanachofanya sasa hivi ni kwa ajili ya wabunge pamoja na kunadi ilani yao kwa ajili ya chaguzi zingine za kuanzia mwaka 2030 na kuendelea. Hali tuliyonayo kwa sasa hivi hairuhusu kubadilisha Serikali hata kwa siku moja tu, it's impossible. watabadilika wabunge, Serikali haitabadilika
 
Back
Top Bottom