Unaniangusha,jina huoni au?Ujumbe upo wapi?
Khanga bila maneno sawa na pilau bila nyama.....
Nimependa hiyo ya nimempata kwa shida.......[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]Atamnunulia ya kuwapiga kijembe kitaa kizima
*Hayawani hayakuhusu
*Nimempata kwa shida shikeni zenu adabu
*Yakwenu yamewashinda mmekalia fitina
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] nisingeweza hata kuhisi[emoji134]Ahhh mkuu mbona iko wazi, kitu kipinduliwacho kinamaanisha nini?
Pole saaana ........... wajua kuzaliwa uswazi ni raha na taaabu!Khanga raha sana....napenda kusoma vijembe vyao
Ugaidi[emoji134] [emoji134]Kupindua penzi la mtu
Imetulia....kiimani zaidiView attachment 335294[emoji120] daima.
Mambo ya diapers yalikuwa gharama enzi zetu, ilikuwa ni mwendo wa kipande cha khanga + nepi na mpira wa kuzuia mambo yakiharibikaNimekubali. Wengine vipande vya khanga ndo ilikuwa kama nepi enzi hizo
Mimi huko simo aisee[emoji2] [emoji15] [emoji15]Ndio maana vidudu vimepinda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mama ananunua chupi ya mkojo akiwa anataka kutoka siku hiyo.Mambo ya diapers yalikuwa gharama enzi zetu, ilikuwa ni mwendo wa kipande cha khanga + nepi na mpira wa kuzuia mambo yakiharibika
[emoji2] [emoji2] [emoji2] I know my friendUnahusika swahiba......just joking !!!
Mie simooo [emoji119] [emoji119]Ndio maana vidudu vimepinda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]