Ni kweli sema avatar ndo inasaidia sanaZinanichanganya[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Kabisa hope nitakuwa makini sasa.Ni kweli sema avatar ndo inasaidia sana
Utakuwa makini wala usijaliKabisa hope nitakuwa makini sasa.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] nashukuru kweli aiseeNdo ushukuru.......
Bitoz ni wa Tanga anatafuta akipata atarejeA kwaoSasa utawaweza wote wanne? Mana wanaume wa Dar hamchelewi kuleta uzi wa malalamiko. Sorry kumbe wewe sio wa Dar
Hiyo sio shida mkuu, dar wengi ni wakuja tu, 99% watafutaji mwisho wa siku wanarudi makwao, ushahidi kila siku ubungo inapokea wakuja 250,000 na kila siku majeneza yanarudisha wengi makwao toka dar to mikoani na ushahidi mwingine ni usafiri kuyumba december kisa! Wachaga wanarudi makwao.Kacheck profile langu nakaa Uswaz Joto City......
Nimezaliwa hospitali ya makapuku M/nyamala na nimekulia uswahilini na hadi sasa nipo Uswaz nimesoma shule za makapuku ndio maana nimejaa swaga za kikapukuHiyo sio shida mkuu, dar wengi ni wakuja tu, 99% watafutaji mwisho wa siku wanarudi makwao, ushahidi kila siku ubungo inapokea wakuja 250,000 na kila siku majeneza yanarudisha wengi makwao toka dar to mikoani na ushahidi mwingine ni usafiri kuyumba december kisa! Wachaga wanarudi makwao.
Sawa mzee wa mabibo..
Ahhh, mzee huku kwetu watu wanatembea na spoki za baiskeli, kazi moja tu ni kusogeza pazia na kuendelea kula kozi. Kula kozi mzee kuna raha zake, mtu anazunguka usiku anasikilizia madirishani, lengo si kuiba vitu la hasha lengo ni kuchungulia wapenzi wakifanya yao.Tushazoea hadi kupiga chabo
[emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji2]
Hahaaa kapuku umekuja....Halafu asubuhi tunasalimiana nao na kucheka kinafikiAhhh, mzee huku kwetu watu wanatembea na spoki za baiskeli, kazi moja tu ni kusogeza pazia na kuendelea kula kozi. Kula kozi mzee kuna raha zake, mtu anazunguka usiku anasikilizia madirishani, lengo si kuiba vitu la hasha lengo ni kuchungulia wapenzi wakifanya yao.
Hahah hah......hiyo shughuli raha yake ukiwa juu ya mnazi inakuwaga pouwa sanaHahaaa kapuku umekuja....Halafu asubuhi tunasalimiana nao na kucheka kinafiki
Kuna bombs tunatumia km darubini kupigia chabo za chooni au bafuni unalichomeka zen unakula kideo
Naam ukimkodolea macho tu anakukonyeza!Vyoo passport size
We we hilo balaa!!!Unaiba khanga yake aliyotundika zen unatoka nduki tuone sasa atatokaje