Maajabu ya khanga!

Maajabu ya khanga!

Kacheck profile langu nakaa Uswaz Joto City......
Hiyo sio shida mkuu, dar wengi ni wakuja tu, 99% watafutaji mwisho wa siku wanarudi makwao, ushahidi kila siku ubungo inapokea wakuja 250,000 na kila siku majeneza yanarudisha wengi makwao toka dar to mikoani na ushahidi mwingine ni usafiri kuyumba december kisa! Wachaga wanarudi makwao.
Sawa mzee wa mabibo..
 
Nimezaliwa hospitali ya makapuku M/nyamala na nimekulia uswahilini na hadi sasa nipo Uswaz nimesoma shule za makapuku ndio maana nimejaa swaga za kikapuku
I'm not wakuja !!!!
 
Tushazoea hadi kupiga chabo
[emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji2]
Ahhh, mzee huku kwetu watu wanatembea na spoki za baiskeli, kazi moja tu ni kusogeza pazia na kuendelea kula kozi. Kula kozi mzee kuna raha zake, mtu anazunguka usiku anasikilizia madirishani, lengo si kuiba vitu la hasha lengo ni kuchungulia wapenzi wakifanya yao.
 
Hahaaa kapuku umekuja....Halafu asubuhi tunasalimiana nao na kucheka kinafiki
Kuna bombs tunatumia km darubini kupigia chabo za chooni au bafuni unalichomeka zen unakula kideo
 
Hahah hah......hiyo shughuli raha yake ukiwa juu ya mnazi inakuwaga pouwa sana
 
Vyoo passport size
cf751df487d6cb39a59a9713a38e6f36.jpg
 
Kuna nyingine niliwahikuiona inasomeka "KAVU NI TAMU" halafu imechorwa korosho kavu
Majanga........
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom