Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi simfahamu...picha nimeipata sehemu kuhusu khanga
Unene ni sumu ya uremboTangu shule alikuaga modo huyo...anaitwa S.......a kama sijakosea halafu ana kamwili kazuri kweli tangu miaka hiyo yupo hivo hivo mpaka raha sio mimi limwili limetanukaaaaaa lol!
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Meghan Markle and Pippa Middleton share a penchant for well tailored preppy outfits Prince Harry's new girlfriend bears a striking resemblance to Pippa Middleton | Daily Mail Online via Daily Mail Online - Android Apps on Google Play
We acha tu kaka. Kuna kanga zingne utazikuta zimeandikwa "NAWASHWA"Pia linaongea...
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hakika ni mtamu huyu mtoto . .., khanga ni ndege, lakini ni kipande cha nguo pia . . [emoji23] [emoji818]