Maajabu ya khanga!

Maajabu ya khanga!

Watu waharibifu sana wa mavazi hivi lini khanga ikashonwa gauni? Jamani khanga ina kazi yake hasa pale ushakoga wamtengea umpendae chakula...eeee unavyo pita jikoni sebureni basi starehe murua ...sharti kubwa la khanga inavaliwa nyenyewe tu...ni mwiko kuvaa na eti nguo nyinginezo ndani yake.

Khanga vazi la makhabaa ....liheshimiwe na watu wote.

Afu unasema mzee anachelewa kurudi home....ebo....khanga huna weye.
Karne ya 21 hii mkuu mambo yamebadilika
 
Mtasha nae yumo.........
IMG_20190729_111819.jpeg
 
Back
Top Bottom