Maajabu ya kunywa sperm

Maajabu ya kunywa sperm

Na sijui mtu anajuaje kwamba hicho 'anachokunywa' ni sperm

Huko nyuma kuna mtu kajifanya mjuaji nami nikamwambia atumie Google kufuta ujinga wake kwa kusoma kuhusu 'azoospermia'.

Azoospermia is a complete absence of sperm from the fluid ejaculated during orgasm (semen).

Sperm hazipo visible to the naked eye.

Mwanaume kutoa manii [semen] haimaanishi hayo manii yana mbegu ndani yake.

Na ndo maana hata kwenye masuala kama ya infertility kwa watu wanaotafuta watoto, katika hizi nchi zetu kuna dhana potofu kwamba mwanamme hawezi kuwa mgumba kwa sababu eti anatoa manii wakati wa tendo la ndoa.

Matokeo yake mwanamke ndo anaishiwa kulaumiwa kuwa yeye ndo mgumba hata kama mwenye tatizo ni mwanamme!!

Azoospermia....look that up😉.
 
Huyu anataka tu kuhamasisha wanawake wenzake wawe wana suck. Alimeza sperm za wanaume wangapi tofauti mpaka akajua ni kila sperm za kila mwanaume zinaongeza I Q? Huyu ni mwongo mkubwa. Hiyo 'a lot of research' ilikuwa ni za aina gani na ngapi mpaka aka conclude ya kumeza sperm ndio yenyewe?
Sperms are generally the same, although they differ much genetically, for which it's effects can be seen only on offspring they make!
 
Hapana... ile wamesema tunyonye papuchi... hasa kipindi kile anapokuwa kapaa mwezini... ile damudamu inaongeza IQ ya wanaume.

Tunyonyeni papuchi kwa juhudi na maarifa wajameni...
Acha ujinga bwana, wengine tuko lunch hapa tusijetapika bure!!!?
 
Huko nyuma kuna mtu kajifanya mjuaji nami nikamwambia atumie Google kufuta ujinga wake kwa kusoma kuhusu 'azoospermia'.

Azoospermia is a complete absence of sperm from the fluid ejaculated during orgasm (semen).

Sperm hazipo visible to the naked eye.

Mwanaume kutoa manii [semen] haimaanishi hayo manii yana mbegu ndani yake.

Na ndo maana hata kwenye masuala kama ya infertility kwa watu wanaotafuta watoto, katika hizi nchi zetu kuna dhana potofu kwamba mwanamme hawezi kuwa mgumba kwa sababu eti anatoa manii wakati wa tendo la ndoa.

Matokeo yake mwanamke ndo anaishiwa kulaumiwa kuwa yeye ndo mgumba hata kama mwenye tatizo ni mwanamme!!

Azoospermia....look that up😉.
Hata mimi nimeshangaa watu wanavyoelezea huo unywaji wa sperm ndo maana nikahoji mtu unajuaje kuwa kile kinachotoka ni sperms bila kufanyia kipimo semen?
 
Sounds like bullshit...

Why?

For one, how do you ingest 'sperm'?

Do you ingest 'sperm' or 'semen'?

Can't even distinguish between sperm and semen!

That right there is just a dead giveaway that the whole thing is a pile of bovine feces!!!
ila kizuri umeelewa alichokuwa amekusudia kumaanisha
 
Hakuna mwanaume wa bongo atakaekubali sparm zake zimuongezee IQ mwanamke ili amzidi yeye!!
 
Back
Top Bottom