IWAMBI JF-Expert Member Joined Dec 5, 2018 Posts 730 Reaction score 624 Mar 10, 2019 #41 Matola said: Bado unabisha? Simba wa karatasi hana madhara. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Yale marinda aliyoyafumua tarehe 16 hayakuleta madhara??
Matola said: Bado unabisha? Simba wa karatasi hana madhara. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Yale marinda aliyoyafumua tarehe 16 hayakuleta madhara??
T Tui JF-Expert Member Joined Jun 2, 2018 Posts 4,698 Reaction score 6,670 Mar 10, 2019 #42 Iwe MAAJABU kufungwa Vita!!! Amefungwa bingwa wa kihistoria wa CAF Champions league barani Afrika haikuwa maajabu itakuwa Vita????
Iwe MAAJABU kufungwa Vita!!! Amefungwa bingwa wa kihistoria wa CAF Champions league barani Afrika haikuwa maajabu itakuwa Vita????
magagafu JF-Expert Member Joined Jan 31, 2016 Posts 1,196 Reaction score 1,309 Mar 10, 2019 #43 Man Thom said: Simba ataishangaza Africa siku ya jumamosi, ni suala la muda tu! Kama Al Ahly alikufa hapa Taifa, As Vita asife ana kitu gani hasa hah hah hah hah Click to expand... Simba kushinda uwanja wa Taifa Sio maajabu Bali As Vita kushinda ndio maajabu kwani As Vita hajashinda hata mechi moja ya ugenini msimu huu na Simba hajafungwa hata mechi moja nyumbani...kwa mizani iyo maajabu As Vita kushinda Sent using Jamii Forums mobile app
Man Thom said: Simba ataishangaza Africa siku ya jumamosi, ni suala la muda tu! Kama Al Ahly alikufa hapa Taifa, As Vita asife ana kitu gani hasa hah hah hah hah Click to expand... Simba kushinda uwanja wa Taifa Sio maajabu Bali As Vita kushinda ndio maajabu kwani As Vita hajashinda hata mechi moja ya ugenini msimu huu na Simba hajafungwa hata mechi moja nyumbani...kwa mizani iyo maajabu As Vita kushinda Sent using Jamii Forums mobile app