IWAMBI
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 730
- 624
Yale marinda aliyoyafumua tarehe 16 hayakuleta madhara??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yale marinda aliyoyafumua tarehe 16 hayakuleta madhara??
Simba kushinda uwanja wa Taifa Sio maajabu Bali As Vita kushinda ndio maajabu kwani As Vita hajashinda hata mechi moja ya ugenini msimu huu na Simba hajafungwa hata mechi moja nyumbani...kwa mizani iyo maajabu As Vita kushindaSimba ataishangaza Africa siku ya jumamosi, ni suala la muda tu! Kama Al Ahly alikufa hapa Taifa, As Vita asife ana kitu gani hasa hah hah hah hah