Nipe tofauti ya hayo mafuta ya kusafisha bunduki na mafuta ya transforma!
Inasemekana ukiwanayo ni ngumu kwa adui yoyote kukusogelea
Inasemekana ukiwanayo ni ngumu kwa adui yoyote kukusogelea
Mmmhh. . . . Kwa hiyo ni bora kununua ndoo nzima ukamwaga kuzunguka nyumba kuliko uzio??!!!
hahaha adui yoyote hata jambazi????
alishab,...????
mkuu fafanua
na kwanza yanauzwa wapi nikanunue maana aiseee hakuna haja ya mbwa
Kuna baadhi ya nyumba unaweza kukuta wamening'iniza dalini kichupa cha hayo mafufa kwa ajili ya ulinzi wa kaya
Ndugu wana Jamii Forum, Leo katika pitapita zangu nimekutana na mdau mmoja akanielezea kidogo kuhusu maajabu ya mafuta ya bunduki kuwa ukiwa nayo huwezi kusogelewa na nyoka wala kudhuriwa na wachawi hata wawe na uwezo kiasi gani.
Karibuni kwa mawazo wenye kulitambua hili jambo.
Inasemekana ukiwanayo ni ngumu kwa adui yoyote kukusogelea
hayo pia uongoMafuta Ya Nguruwe Peke Yake Ndo Kinga Ya Majini Na Wachawi