Maajabu ya Mafuta ya Bunduki

Maajabu ya Mafuta ya Bunduki

Ndugu wana Jamii Forum, Leo katika pitapita zangu nimekutana na mdau mmoja akanielezea kidogo kuhusu maajabu ya mafuta ya bunduki kuwa ukiwa nayo huwezi kusogelewa na nyoka wala kudhuriwa na wachawi hata wawe na uwezo kiasi gani.

Karibuni kwa mawazo wenye kulitambua hili jambo.

Weeee.! Kwani mafuta ya bunduki yametengenezwa na vitu gani
 
Ndugu wana Jamii Forum, Leo katika pitapita zangu nimekutana na mdau mmoja akanielezea kidogo kuhusu maajabu ya mafuta ya bunduki kuwa ukiwa nayo huwezi kusogelewa na nyoka wala kudhuriwa na wachawi hata wawe na uwezo kiasi gani.

Karibuni kwa mawazo wenye kulitambua hili jambo.
Hayo mafuta nayafaham...,,ila cjawah ckia kama yanawez fanya kazi hizo ulizozitaja.
 
Yana fanana na nini?, yanapatikana kwa siri au hatab kwa mangi huuzwa?
 
Mzinga yanapatikana kwa wingi sindio wanatengeneza bunduki na yenyewe watakua wanatengeneza
 
Ndugu wana Jamii Forum, Leo katika pitapita zangu nimekutana na mdau mmoja akanielezea kidogo kuhusu maajabu ya mafuta ya bunduki kuwa ukiwa nayo huwezi kusogelewa na nyoka wala kudhuriwa na wachawi hata wawe na uwezo kiasi gani.

Karibuni kwa mawazo wenye kulitambua hili jambo.

Wanaka urogwe tu mkuu.Ww kuwa nayo alaf ingia mziki wa jeshi la usiku ndio utaona kama yanawazuia au la
 
Back
Top Bottom