Maajabu ya maji ya kunywa katika kutibu Vidonda vya Tumbo na Bawasiri

Maajabu ya maji ya kunywa katika kutibu Vidonda vya Tumbo na Bawasiri

mleta mada sjakuelewa, unakunywa maji Glass 2 -3 kwa siku?
 
Maji muhimu sana,masuala ya kusikia njaa kali sahau,kukaa chooni muda mrefu sahau,kuumwa kichwa sahau,magonjwa Kama U.T.I sahau,unahisi una ugonjwa wa Malaria,tiba ya haraka kabla hujazidiwa kunywa maji ya kutosha Kisha utaenda Hospitali bila wasiwasi,suala la kutundikiwa dripu sahau nk.
Mwisho usimsahau Mungu,uwe na mawasiliano naye ya mara kwa mara. katika kuomba na kulisoma neno lake na kuliamini,utaishi maisha safii.
 
Nimekubaliana na ushauri huu kwa asilimia 100 , maana baada ya kusoma huu uzi na kuanza kunywa maji mengi huwezi amini madonda ya tumbo yamepona kwa asilimia kubwa . Ubarikiwe uliyeanzisha huu Uzii[emoji123]
 
Watu mnatoa shuhuda.
 
Mshauri apunguze na kula vyakula vya wanga itamsaidia sana.
Yah kweli mkuu vyakula vya wanga vinasababisha bawasili kama siyo mtumiaji wa mbogamboga na matunda na maji mengi, mgonjwa wa bawasili akitumia vyakula visivyo kobolewa matunda na mboga mboga anapona bila kwenda hospital
 
Nakubaliana na hoja yako mkuu, matunda na mboga mboga ni vizuri sana kwenye mwili.
 
A glass full of warm water early in the morning before you take anything in your stomach,fanya hii,ndani ya mwezi 1 utakuja kunishukuru...
Kuna maajabu gani hapo mkuu kutumia maji ya vuguvugu asubuhi before anything ?!
 
Unapata haja kubwa vizuri na siku unaianza vizuri bila uchovu. Hakuna shida kubwa kama kutembea na kinyesi kilichogoma kutoka🤭🤭
Ukifika kazini unaanza kuvizia zile sehemu zisizo na watu wengi ili angalau utoe vigesi umiza...
 
Back
Top Bottom