Maajabu ya majina yanayo anza na """J"""

j kikwete sawa kwasabab ni rais wako lakini je hakuna rais wa nchi nyingine duniani anayeanzia na J zaidi ya maraisi wa marekani? acha kutukuza kusikokuwa na maana.
 

wajua kuna watu wako hivyo... na Ndio mazoea yao, haipiti siku au kila neno lazima liwe na kibwagiza cha tusi...
 
Juma Kapuya
Juma Kaseja
Jomo Kenyeta
Joseph Kabila
Nk.

Hata mimi ni J.K
 
Shekh Yahaya amewahi kusema haya majina yanayoanza na J nyota zao wengi wao huwa viongozi wakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…