Maajabu ya majina yanayo anza na """J"""

Maajabu ya majina yanayo anza na """J"""

j kikwete sawa kwasabab ni rais wako lakini je hakuna rais wa nchi nyingine duniani anayeanzia na J zaidi ya maraisi wa marekani? acha kutukuza kusikokuwa na maana.
 
Ungetumia ustaarabu kuniuliza maajabu yake ni yapi ningekujibu vizuri sana. Katika maandiko Matakatifu imenenwa "Usimjibu mpumbavu sawa sawa na upumbavu wake usije ukafanana naye."Na pia: "Mjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake asije akajiona mwenye hekima mbele yake mwenyewe."

Jibu langu kwako ni unastahili kunijibu hivi kwani umelingana na kimo chako.

wajua kuna watu wako hivyo... na Ndio mazoea yao, haipiti siku au kila neno lazima liwe na kibwagiza cha tusi...
 
Jesus Christ- The Son of God/ Our Lord and Saviour
Jacob son Isaac and Rebekah
Julius Ceaser
Juius Nyerere
Jacob Zuma
James Bond
John Paul II
Janet Jackson
Jakaya Kikwete
Jakaya Mwambi
John Komba
John Nchimbi
J.K. Rowlings
Jack Dempsey (boxing)
Jack Lemmon (actor)
Jack Nicholson (actor)
Jackie Gleason (entertainer)
Jacqueline Kennedy Onasis (wife of President John F. Kennedy)
James Buchanan (U.S. President)
James Doolittle (aviator)
James Garfield (U.S. President)
James Madison (U.S. President)
James Monroe (U.S. President)
James K. Polk (U.S. President)
James Stewart (actor)
James Taylor (singer, songwriter, guitarist)
Jane Austen (author)
Jeff Foxworthy (comedian)
Jerry Seinfeld (comedian, actor)
Jerry West (basketball)
Jersey Joe Walcott (boxer)
James Bowie (popular hero who helped Texas become a state)
James Cagney (actor)
James Dean (actor)
James "Catfish" Hunter (baseball)
James Palmer (baseball)
James Stewart (actor)
James Worthy (basketball)
Jennifer Lopez (singer)
Jerry Rice (football)
Jesse Owens (athlete)
Jim Boeheim (basketball coach)
Jim Brown (football)
Jim Kelly (football)
Jim Carrey (actor)
Jim Reeves (singer)
Jim Thorpe (athlete)
Jimmie Carter (U.S. President)
Jimmy Connors (tennis)
Jimmie Dorsey (band leader)
Jodie Foster (actress)
Joe DiMaggio (baseball)
Joe Lewis (boxing)
Johann Sebastian Bach (music composer)
John Adams (U. S. President)
John Quincy Adams (U.S. President)
John Wilkes Booth (shot President Abraham Lincoln)
John Candy (actor)
John Elway (football)
John Grisham (author)
John F. Kennedy (U.S. President)
John Lennon (the Beatles)
John McEnroe (tennis)
John Michael Montgomery (singer)
John Riggins (football)
John Steinbeck (author)
John Thompson (basketball coach)
John Travolta (actor)
John Tyler (U.S. President)
John P. "Honus" Wagner (baseball)
John Wayne (actor)
John Wooden (basketball coach)
Johnny Bench (baseball)
Johnny Cash (singer)
Johnny Carson (TV talk show host)
Johnny Depp (actor)
Johnny Ray (singer)
Johnny Paycheck (singer)
Johnny Unites (football)
Julia Roberts (actress)
Julius Caesar (Roman ruler)
Julius Erving (basketball)
Judy Garland (actress & singer)
Julia Child (chef, author, TV personality)
Julie Andrews (singer & actress)
Justin Bieber (singer)
Justin Timberlake (singer & actor)
Joe Biden
John Kerry
Janet Jackson (singer)
Jesse James (outlaw)
Jimmie Johnson (racecar driver)
Jesse Jackson
Juma Kapuya
Juma Kaseja
Jomo Kenyeta
Joseph Kabila
Nk.

Hata mimi ni J.K
 
Shekh Yahaya amewahi kusema haya majina yanayoanza na J nyota zao wengi wao huwa viongozi wakubwa
 
Back
Top Bottom