Maajabu ya Mbowe, Fatma Karume na Zitto: Wako kimya licha ya gharama za maisha kupanda. Kipindi Magufuli kaziba maslahi yao kelele kila siku!

Status
Not open for further replies.
Hayo majamaa hovyo kabisa, walisema Magu anawanyima kuongea na kukosoa serikali, sasaivi wanaruhusiwa lakini wapo komya.
 
Kama waona ni rahisi piga na wewe maana wakiwekwa ndani au wakiandaa maandamano sote twajifungia, wakikamatwa sisi maisha yetu yanaendelea.
Inafika mahala mtu anaona hawa naowapganoa huenda hata hawaumii nina kiherehere tu.
 

Kwani mwigulu anasemaje
 
Kweli kabisa !!
 
Eti Mange yupo bize na kupost Uchi wa wanawake wenzake 😂😂😂😂😂😂😂
 
Watanzania gani ambao unataka wapiganiwe?! Hawa ambao ni wanafiki na wajinga! The mentioned people wamejitolea maisha yao, kazi zao, wamepoteza mali na hata wengine uhai wao lakini ni namna gani watanzania wanashikamana nao? Hakuna.

Wapinzani wakae walambe asali, waache msumari wa ugumu wa maisha uendelee kuingia.
 
Yaani sisi Watanzania tumtegemee Mbowe aliyetoka jela majuzi na chama chake chenye mbunge mmoja wa fitna? Halafu Zitto Kabwe na Fatma Karume? Lini tuliwategemea hawa "wasaliti"? Hili bandiko ni kudharau uwezo wetu wa kufikiri. Wewe endelea kumuomboleza Magufuli kisha tafuta namna ya kumlilia mrithi wake kuwatetea Watanzania "wanyonge". Hakuna mwenye monopoly ya kupigania haki.
 
Hata Magufuli, rais wa wanyonge, alikuwa hivi? Au yeye alikuwa "exception".
 
Kumbe wewe ni mjinga.Sasa kama unajua mbowe ni jambazi inakuaje unataka akusemee kwa ujinga unaofanywa na viongozi wako.Nchi imewashindeni alafu unataka kupeleka lawama kwawengine.Kwani kuna ndugu yako aliyekwenda kumuomba mbowe awe mwanasiasa wakuwasemea matatizo yenu au aliingia kwenye siasa kwa utashi wake.serikali mnayo wenyewe kila kitu chakwenu alafu unataka kusumbua wengine.Punguza ujinga hapo lumumba.
 
Mleta mada ukiendelea na tabia hii hutakuja kufaulu katika mambo mengi sana!! Nazungumzia tabia ya kutaka kusikia tatizo limezungumziwa lakini anayelizungumzia hana uwezo wa kulimaliza!!

Ninkweli uliowataja hawajazungumza sana kuhusu maisha kupanda! Lakini je, wakishalizungumzia ndio linatatuliwa? Kwa level yako ninachotafuta kujua ni je, serikali inafanya mambo yanayozungumzwa na hao uliowataja??

Badala ya kulalamikia hao - shauri Makamu Mwenyekiti wa CCM. Katibu Mkuu wa CCM. Waziri Mkuu na Spika wayazungumzie ili tuone tofauti!! Kama vipi, nenda polisi kapate kibali cha kufanya maandamano ya amani kuishinikiza serikali kushughulikia bei za bidhaa muhimu. Ukipata kibali hicho nitaungana na wewe kufikisha ujumbe kwa wafanya maamuzi.

Aina yako ya raia ndio tatizo la msingi la nchi hii. Watu wasiojua kipi kifanyike wapi, kwa nani, wakati gani na kwa njia zipi!!
 
Huwezi kujadili hoja bila kutaja ulemavu wa mtu?.Au kwavile wewe hatukujui.Jinga wewe.
 
seen
 
Wewe unataka upiganiwe haki zako ebo ingia barabarani upambane bei zishuke
 
Wew ni mpu**mbavu kwani huyo mboe na zitu ni wenyekiviti wa kampuni zao Sasa kwanini waseme wao viongozi taasisi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Unawakosea Hao Watu. Japo sijawahi kuwakubali Hata mara Moja wanasihasa Wa kibongo. Ila Fatuma Nampenda sana anavyoongea. Siku zote nilijua ana Mume ningeshapeleka posa Siku nyingi.
,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hao wanasiasa hawana tatizo na Bei za mafuta Wala chakula mana pesa wanazo. Tatizo lao ni Demokrasia ambayo nayo Kwa wananchi sio kipao mbele.
Kwa Hiyo wao wanapigania maslahi yao na awamu Hii wameyapata. Hawana shida na maisha ya Watanzania kama ilivyo CCM Kwa Miaka 60 Bado tunaagiza Ngano Kutoka Urusi. Tunaagiza viberiti Kutoka china na kushindana Kwa vilabu Kununua Jezi Toka China badala ya kutengeneza KWENYE viwanda vyetu vya ndani. Soko kubwa la Tairi za magari lipo Lakini Cha ajabu kiwanda cha General Tyre ndio kinakufa kifo Cha Ménde na hakuna anayejali ndani ya CCM mana wanapiga madili Kwa matajiri wanaoagiza bidhaa nje ikiwemo Tairi Toka China.

Viongozi Wa Dini wanapigania maslahi ya Dini Zao ,wanasihasa wanapigania maslahi ya Siasa na wananchi wakiona Kuwa mfumuko mkubwa Wa Bei unaathiri maslahi yao basi wajitokeze wapiganie maslahi yao. Vinginevyo wasimbebeshe mwanasiasa mzigo Wa kupigania maslahi yao.

Kagame aliamua kuingia msituni baada ya kuona anaishi uhamishoni kama mkimbizi Wakati anaweza kupigania haki yake ya kuishi Rwanda kama shujaa. Alipambana na Sasa ndiye Rais mzalendo kuliko Marais Wote Afrika. Angekaa kimya asubiri wanasihasa wenye vyama wapiganie maslahi yake angefia uhamishoni kama digidigi.
 
Na wakati uchaguzi unaharibiwa 2020 ulikuwa wapi ? , Wakati Lisu anapigwa risasi ulikuwa wapi , wakati Mbowe anabomolewa billcanas na kufungiwa accounts zake ulikuwa wapi , wewe msukule ulikuwa wapi wakati makufuli anaua watu uchaguzi WA 2020 na kuwapitisha hao misukule wenu Bungeni ? , Ulikuwa wapi wewe zwazwa wakati makufuli ametengeneza vikosi vya mauaji na mateso dhidi ya wapinzani aka wasiojulikana , ulikuwa wapi wakati Ben Saanane na Azory Gwanda wanapotezwa na kuuawa , ulikuwa wapi wewe na werpuuz wenzako wakati akwilina anauawa ?

Mnafiki
 
kilaza ktk ubora wako mbowe, zito na shangazi ndo wamepandisha gharama za maisha? acha uvivu wa kufikiri machungu na umasikini wa watanzania umesababishwa na nyinyi MACCM. shame on you
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…