Maajabu ya Mbowe, Fatma Karume na Zitto: Wako kimya licha ya gharama za maisha kupanda. Kipindi Magufuli kaziba maslahi yao kelele kila siku!

Status
Not open for further replies.

Mkishindwa kazi mnasingizia upinzani
 
Mbwa wewe na hao wenzio waliyopewa fupa likawafanya kunyamaza, waambie wakipokonywa fupa wasianze kubweka bweka.

Punguza hasira. Wakati wanateswa uliwacheka, Leo wametulia unawasema kwa hasira tukueleweje. Kwanini hiyo hasira usiipeleke kwa serikali ya CCM.
 

Kumbe leo uneona umuhimu wa upinzani Tanzania. Tatizo CCM imeshindwa kazi pamoja na kuachiwa kila kitu.
 
Punguza hasira. Wakati
wanateswa uliwacheka, Leo
wametulia unawasema kwa
hasira tukueleweje. Kwanini
hiyo hasira usiipeleke kwa
serikali ya CCM.
Sijawaongelea kwa hasira sina muda huo kabisa, huyo member hapo yeye anaelewa lugha ya matusi na ndio maana namjibu kama anavyotaka. Ila hao wakina Mbowe na Zitto sijawahi kuhitaji kunisemea kwa lolote.
 
Maneno ya kujitia moyo baada ya chuki kwa upinzani kushindwa
 
Huu unaweza ukawa Uzi Wa ishirini kuwaita hao jamaa ila wamegoma. Wacha tuache. Mange nae yuko bize na tupu za watu !!

Ni mbinu ya kuficha madhaifu ya CCM basda ya kushindwa hata kupunguza mfumuko wa bei
 
Mpumbavu mkubwa wewe Leo unataka mbowe na zito waseme kitu ulikuwa wapi siku zote Ng' ngombe kutoka mwanza wewe. Nenda chato kamwambie FASHISTI aje apunguze garama za maisha Yako.
 
Demokrasia sio kipaumbele cha wananchi? Huu ni uelewa wa ajabu sana.

Sasa serikali inapowakandamiza na tozo za kila aina na maamuzi mengine ya ovyo ikiwa ni pamoja na kufuja fedha za umma kwa ufisadi na matumizi ya anasa, wananchi wanawawajibishaje watawala? Kwa mapambano ya silaha?

Kama kweli Watanzania hawataki demokrasia acha watawala waendelee kulamba asali kwa jeuri yote kila mtu ajijue mwenyewe.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…