Maajabu ya MCHICHA

bway hermit

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2017
Posts
1,337
Reaction score
2,339
Katika mboga inayoaminika kuwa Na umuhimu kweny uongezaji wa damu mwilini basi MCHICHA ni miongoni mwa mboga hizo.

Mchicha ni muhimu kwa wanaume wenye tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.
USILOLIJUA.........=USIKU WA GIZA

wanaume oyeee
Wanaume kuleni mchicha ni muhimu kwa afya ya mwili wako kwa kuongeza Na kuimarisha mzunguko wa damu mwilini.

Nafanya biashara ya MCHICHA karibuni Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unaongeza nguvu za kiume kivipi...mchicha upi kwanza wa kienyeji au wa kisasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…