Mkalimani wa taifa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 753
- 1,290
ana kifo maarufu sana mdudu mende
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaaah!!!! I guess ulimtema kisha akapeperuka teh hadi kinyaa....poleKuna siku niliiacha redbull usiku sikuimaliza,alfajiri nikaanza nayo baada ya usingizi kukata.Nilibugia bonge la mende akiwa mzima.
Huo mtiti utafikiri nilimezeshwa guruneti.😁😀
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nilichapiaaKasema mende, siyo membe!
Kalibu umlaze chali Kama hataamka,Ndiye mdudu ambaye akilala chali hawezi kuamka
Hapo number 4 wana hamasisha lesbianism1. Kuishi muda mrefu bila kula
Mende ni mdudu ambaye anaweza kukaa kwa muda zaidi ya mwezi mmoja bila kula chochote na bado akiwa hai. Ni wadudu ambao wana uwezo wa kuishi mazingira magumu sana.
Eublaberus posticus ni aina ya mende ambao hawa wanaweza kukaa mwaka mmoja kwa kunywa maji pekee.
2. Kuishi bila kunywa maji
Wanaweza kuishi kwa muda wa wiki mbili bila kunywa maji
3. Moyo wa mende una chemba 13, wakati moyo wa binadamu una chembe 4 tu.
4. Hawahitaji wanaume ili kuzaliana
Unaambiwa baadhi ya mende wa kike hawahitaji madume ili kufanikisha suala la kuzalisha mayai. Hupandana wao kwa wao na kutaga mayai na maisha huendelea hivyo.
5. Mende ana uwezo wa kukaa kuwa zaidi ya dakika 40 bila kupumua
6. Ana uwezo wa kukaa kwa zaidi ya wiki mbili akiwa hai huku akiwa amekatwa kichwa
7. Hana mapafu
8. Ana uwezo mara 15 zaidi ya binadamu katika kuzuia madhara ya miale ya nyuklia
9. Ana uwezo wa kuruka kwa maili 3 kwa saa moja.
10. Ana uwezo wa kukaa maeneo yenye sumu na uchafu bila kufa wala kudhurika.
11. Kuna aina takriban 4,600 za mende Duniani. Lakini aina 30 tu ndizo huonekana sana karibu na binadamu wakati huo huo aina 4 ndizo maarufu sana.
Mkuu kombamwiko ni yupi?Uongoooo membe na kombamwiko Ni tofauti
Hata simjui mimiMkuu kombamwiko ni yupi?
hii kiboko 😀 😀 😛baadhi ya mende wanaweza kufanya mapenzi mara moja tu, lakini akawa na mimba maisha yake yote
Lesbian wanauwezo wa kutengeneza mimba bila sperm?Hapo number 4 wana hamasisha lesbianism
Ndio maana mke wangu anamuogopa sana, sikujua hiliMende kiboko ya wanawake baadhi yao wanamuogopa kiyama.
Mkuu kombamwiko ni yupi?Uongoooo membe na kombamwiko Ni tofauti
Kuna wakati aliuzwa dola 80,000 kule Japan!Hata simjui mimi
Sababu ya kifo chake.Mende kiboko ya wanawake baadhi yao wanamuogopa kiyama.