Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Eeein na wasabato kudadadeki niliwasahau! Wale jamaa kama free mason mambo yao yaani hawaeleweki kama tairi ya spear inafungwa upande wowote tairi itakapopasuka.Wasabato usiwasahau..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeein na wasabato kudadadeki niliwasahau! Wale jamaa kama free mason mambo yao yaani hawaeleweki kama tairi ya spear inafungwa upande wowote tairi itakapopasuka.Wasabato usiwasahau..
Simba bado tunaonyesha comedy uwanjani sijui tuna tatizo gani tu daah!Liverpool 2-0 Real Mandrid
14' Mo Salah
Kijana umetumwa au usomi gani unazungumzia 📌
Fanya wewe mkuuUnajaribu eleza vitu, ila ni very shallow
View attachment 2525591
1. KWANZA WAFUGAJI WA NGURUWE SIJUI WANALITAMBUA ILI KUWA NGURUWE NIKINGA YA MASHETANI Yaani yeye anachukiwa na mashetani/wachawi[emoji848][emoji23][emoji23]
2. MFUPA WA NG'URUWE NI KINGA tosha kujiweka mbali na WACHAWI au nguvu za giza.
NA UFANYAJE UNAWEZA KUWA NAO KWA POCHI YAKO AU UKAUFUNGA KWA KITAMBAA /UKAWEKA PEMBE ZONI MWA PEMBE ZA KUTA ZA NYUMBA YAKO.
• IKO HIVO SOMO LIFUATALO NITAWAPA FAIDA YA KUVAA NGUO KINYUME...PAMOJA NA KUMILIKI WEMBE NA SINDANO ILA KUVIWEKA MBALI.KIDOGO..
Imeandaliwa na Kimodomsafi
Ngapi huko?Liverpool 2-0 Real Mandrid
14' Mo Salah
Humu wajinga wengi. Niligundua hajui kitu kitambo sanaNi kweli kabisa, nashangaa jinsi members huku wanavyompamba wakati hajui lolote in deep
kufanya haya tayali wewe unakuwa mfuasi wa sheitaniView attachment 2525591
1. KWANZA WAFUGAJI WA NGURUWE SIJUI WANALITAMBUA ILI KUWA NGURUWE NIKINGA YA MASHETANI Yaani yeye anachukiwa na mashetani/wachawi[emoji848][emoji23][emoji23]
2. MFUPA WA NG'URUWE NI KINGA tosha kujiweka mbali na WACHAWI au nguvu za giza.
NA UFANYAJE UNAWEZA KUWA NAO KWA POCHI YAKO AU UKAUFUNGA KWA KITAMBAA /UKAWEKA PEMBE ZONI MWA PEMBE ZA KUTA ZA NYUMBA YAKO.
• IKO HIVO SOMO LIFUATALO NITAWAPA FAIDA YA KUVAA NGUO KINYUME...PAMOJA NA KUMILIKI WEMBE NA SINDANO ILA KUVIWEKA MBALI.KIDOGO..
Imeandaliwa na Kimodomsafi
Why take all the troubles ya kutembea ukiwa umebeba mifupa ya wanyama mfukoni wakati ukitamka Jina la Yesu tu hata mapepo walioko Sayari ya Mars wanakimbia?View attachment 2525591
1. KWANZA WAFUGAJI WA NGURUWE SIJUI WANALITAMBUA ILI KUWA NGURUWE NIKINGA YA MASHETANI Yaani yeye anachukiwa na mashetani/wachawi🤔😂😂
2. MFUPA WA NG'URUWE NI KINGA tosha kujiweka mbali na WACHAWI au nguvu za giza.
NA UFANYAJE UNAWEZA KUWA NAO KWA POCHI YAKO AU UKAUFUNGA KWA KITAMBAA /UKAWEKA PEMBE ZONI MWA PEMBE ZA KUTA ZA NYUMBA YAKO.
• IKO HIVO SOMO LIFUATALO NITAWAPA FAIDA YA KUVAA NGUO KINYUME...PAMOJA NA KUMILIKI WEMBE NA SINDANO ILA KUVIWEKA MBALI.KIDOGO..
Imeandaliwa na Kimodomsafi
To be honest mshana ukimtafuta hajui chochote kile . Anajua story za mtaani tu na kuambiwa . Tested him na hajui kitu he is paper white . Prove me wrong
Kwamba uelewa wake ni wa juu juu kama mafuta yanavyoelea kwenye supu?Ni kweli kabisa, nashangaa jinsi members huku wanavyompamba wakati hajui lolote in deep
Jinsi anavoandika ni kama kichwa cha habari in short haelewekiMshana junior ni msomi na anaandika vitu kwa kina na utafiti, sio kama wewe, huwezi mfikia.
Bora simbaSimba bado tunaonyesha comedy uwanjani sijui tuna tatizo gani tu daah!