Alivumbua AC ?!!!!Father of Electricity ni Michael Faraday, Tesla yeye amevumbua umeme wa ac, kipindi hicho umeme wa dc ulikuwepo.
SijakuelewaAlivumbua AC ?!!!!
Sir Isaac once said and I Qoute....
“If I have seen further, it is by standing on the shoulders of giants.”
Akimaanisha He relied on the ideas of those who came before him.
Umeme wa ac tukiangalia in terms of graph ni alternating, graph ipo sinusoidal, unaenda high, zero then low.Nisaidie tofauti ya umeme wa AC na DC.For the sake of learning.
Hivi IQ inapimwaje ?Mimi binafsi nina 180 IQ
Kuna test unafanya online. Ina maswali mengi halafu inakutathimin una IQ ya ngapi, search Google andika IQ testHivi IQ inapimwaje ?
Kama siijui hiyo lugha inayotumia kuuliza maswali inakuwaje ?Kuna test unafanya online. Ina maswali mengi halafu inakutathimin una IQ ya ngapi, search Google andika IQ test
Aligundua kitu iinachoitwa capacitance katika umeme,ndiyo maana hata unit ya capacitance inaitwa farad,au micro farad.Michael Faraday aligundua nini?
hata Albert Eistein alikuwa anavuta kiko hilo sio tatizo.Kikubwa ni ubongo wake tu.Anaonekana alikuwa mvuta sigara eti
Hio IQ yake mpaka sasa hivi imeisaidia nini dunia kuwazidi Stephen Hawking, Albert Einstein na Bill gates?Mbona hamuwaandiki wanasayansi weusi waliogundua Light Bulb kama lewis Latimer?
Unajua kwamba Kijana mweusi Ramarni Wilfred ame score IQ ya Juu zaidi ya 162 kupita Stephen Hawking, Albert Einstein na Bill gates?
Unasema aligundua AC Electricity ?!!!Sijakuelewa
Nisaidie tofauti ya umeme wa AC na DC.For the sake of learning.
Mawazo Yote Yataishia Kuiwaza Mbususu.KUNA UHUSIANO MKUBWA KATI YA KUOA MKE NA AKILI.
Tesla aligundua umeme ?
Jaribu kuweka facts zako correctly
Tesla hakugundua simu,kama mwandishi wa uzi huu ulivyoelezea,simu iligunduliwa na Alexander Bell.