Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Direct current unaweza kuipata kwenye solar, na Chemical energy (Dry Cell / Batteries)Umeme ulikuwepo wa DC(Direct C urrent).Nikola Tesla aligundua AC(Alternating Current)
Unapotumia magnestism kwenye coil of wire ile movement kama ni to and fro hapo unaproduce current ambayo sio direct bali ina alternate.., hivyo basi Faraday alivyogundua tu kwamba ukipitisha sumaku perpendicular na good conducting wire unaproduce umeme kilichopatikana hapo ni AC (ili kuibadilisha hio AC ili iwe DC ili iweze kufanya kazi kwenye bulbs ndio wakaweka kitu kinaitwa cummutators)
Kama AC inatumika kwenye transformer na kama faraday alikuja na transfomer 1831 unawezaje kusema mtu aligundua kitu ambacho ni essential kwa transformer kufanya kazi kabla ya hicho kitu kugunduliwa !!!!AC inatumika mpaka kwenye transformer nk nk nk.
Kuibadili dunia ni one thing na kugundua kitu ni quite another..., Tesla was a great engineer na aliongeza ufanisi katika mambo mengi (induction motor ikiwa mojawapo) pia alisaidia sana kufanya AC itumike katika electric distribution badala ya AC hivyo kupunguza losses over long distances kwa kuweza kusafirisha umeme at low current /high voltage since AC inaweza ikawa transformed bila shida....., Kwahio alifanya AC itumike mainstream, tofauti na DC...,Kwa kifupi Nikola Tesla aliibadili dunia.👏👏👏