Maajabu ya mgunduzi wa umeme Duniani

Umeme ulikuwepo wa DC(Direct C urrent).Nikola Tesla aligundua AC(Alternating Current)
Direct current unaweza kuipata kwenye solar, na Chemical energy (Dry Cell / Batteries)

Unapotumia magnestism kwenye coil of wire ile movement kama ni to and fro hapo unaproduce current ambayo sio direct bali ina alternate.., hivyo basi Faraday alivyogundua tu kwamba ukipitisha sumaku perpendicular na good conducting wire unaproduce umeme kilichopatikana hapo ni AC (ili kuibadilisha hio AC ili iwe DC ili iweze kufanya kazi kwenye bulbs ndio wakaweka kitu kinaitwa cummutators)
AC inatumika mpaka kwenye transformer nk nk nk.
Kama AC inatumika kwenye transformer na kama faraday alikuja na transfomer 1831 unawezaje kusema mtu aligundua kitu ambacho ni essential kwa transformer kufanya kazi kabla ya hicho kitu kugunduliwa !!!!
Kwa kifupi Nikola Tesla aliibadili dunia.👏👏👏
Kuibadili dunia ni one thing na kugundua kitu ni quite another..., Tesla was a great engineer na aliongeza ufanisi katika mambo mengi (induction motor ikiwa mojawapo) pia alisaidia sana kufanya AC itumike katika electric distribution badala ya AC hivyo kupunguza losses over long distances kwa kuweza kusafirisha umeme at low current /high voltage since AC inaweza ikawa transformed bila shida....., Kwahio alifanya AC itumike mainstream, tofauti na DC...,
 
Tesla hakugundua simu,kama mwandishi wa uzi huu ulivyoelezea,simu iligunduliwa na Alexander Bell.
Alexander Graham Bell is often credited with being the inventor of the telephone since he was awarded the first successful patent. However, there were many other inventors such as Elisha Gray and Antonio Meucci who also developed a talking telegraph. First Bell Telephone, June 1875.
 
Allesandro Volta, Michael Faraday n wanasayansi wakubwa ila nikola Tesla atabaki kuwa mwanasansi bora kwangu kwenye masuala ya umeme na mengine
 
Asante kwa kutupanua ufahamu.
 
Bado ni kijana Mdogo! Pengine anafanya Projects kipindi hiki, na projects zinaweza kuchua muda na Impact yake inaweza kudumu milele
 
Kwahiyo unataka kusema umeme unaotumia nyumbani ni wa dynamo?
 
Ungemwambia ac ni umeme wa tanesco/generator. na dc ni umeme ùnaotoka kwenye battery'
Exactly, maana alivyosema umeme wa DC unatumika kwenye TV kuna TV zingine zinatumia AC
 
Father of Electricity ni Michael Faraday, Tesla yeye amevumbua umeme wa ac, kipindi hicho umeme wa dc ulikuwepo.
Kwa lugha nyepesi kumuelewesha mtu nini tofauti ya AC na DC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…