Maajabu ya MO Enterprises

Lugha JF inabidi uzitafakari sana zimejaa mafumbo sana mpaka sawariya ameandika hivyo ujue kuna kitu amemaanisha, kama unajua mashine za kusaga diseal zinavyofanya kazi utakuwa umemwelewa
 
Last edited by a moderator:
Usafiri unaotumiwa na kampuni hii ya Mohamed interpress kusambaza bidhaa zake hasa kwa hapa dar ni matrekta,caterpillar,listerpeter,au ni mashine zakusaga?

...........leta picha aiseeeh ! :confused2:
 
alafu yale ma power tila yanakelele kinoma, usiombe liwe pembeni yako kwenye foleni ya Dar.
 
Aisee ni kweli vile vigari vikipita kuku wote wanakimbilia mabandani, mbwa wanabweka, ng'ombe wanalia, magari yenye alarm nayo.....yani utazani parapanda inalia.
 
Asante kwa ufafanuzi mzuri mkuu ila nilipotaja mashine yakusaga kuna watu povu limewatoka humu.Sasa kama nikwaajili ya powertiler,mashine ya mbao,kusaga nk.mjini tunalima mpunga au kupasua mbao? Mimi nadhani tbs huwa wanazuia magari toka japan na kwingineko hadi upate idhini kwao Sasa hapa ilikuaje😱😱 ??
 
Usafiri unaotumiwa na kampuni hii ya Mohamed interpress kusambaza bidhaa zake hasa kwa hapa dar ni matrekta,caterpillar,listerpeter,au ni mashine zakusaga?

ha ha ha....aisee ni kweli kiongozi mimi nilikutana na gari moja hivi la MO dah, lipo muuondo kama Canter ila mbele linataili moja kama Bajaj,tatzo ni huo mlio dah gari sio gari yaani hata mlio wa generator ni mzuri
 
Aisee ni kweli vile vigari vikipita kuku wote wanakimbilia mabandani, mbwa wanabweka, ng'ombe wanalia, magari yenye alarm nayo.....yani utazani parapanda inalia.

mbavu zangu jamani....
 
Aisee ni kweli vile vigari vikipita kuku wote wanakimbilia mabandani, mbwa wanabweka, ng'ombe wanalia, magari yenye alarm nayo.....yani utazani parapanda inalia.

ndugu umeua!
kicheko hapa!
 
= mgogoro
 
mkuu,hii kitu,hizo injini ni very fuel economy,hiyo nii work machine, hapo walichochemka ni vitu viwili, moja ni kutokuweka exost ambayo ni silent kama zilivyo jenereta, lakini pia kitendo cha gear box kuendeshwa na belt badala ya shaft ni kitu cha hatari sana kwa gari inayopita mjini,maana sometimes belt hizo huwa zinachomoka au kukatika, balaa lake waulize WALIMA MPUNGA NA WAENDESHA POWERTILLER KULE UBARUKU MBARALI watakuambia mziki wa kuchomoka belt/kukatika wakati powertiler ikiwa imebeba tela lenye mzigo na imekolea speed
 
Sipingani na swala la matumizi madogo ya mafuta bila shaka hakuna mfanyabiashara anaependa hasara swala nikwamba yanafaa kwa matumizi ya mjini?

Na kama yanafaa kwa matumizi ya mjini vigezo na masharti vilizingatiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…