Maajabu ya MO Enterprises

Maajabu ya MO Enterprises

Picha hii hapa
 

Attachments

  • 1433870647969.jpg
    1433870647969.jpg
    72.6 KB · Views: 450
  • 1433870673322.jpg
    1433870673322.jpg
    70.7 KB · Views: 373
Usafiri unaotumiwa na kampuni hii ya Mohamed interpress kusambaza bidhaa zake hasa kwa hapa dar ni matrekta,caterpillar,listerpeter,au ni mashine zakusaga?

Ningekua mimi ndio mkuu wa mkoa wa dar haki ya Mungu hivi vidude ninge vipiga marufuku kuingia katikati ya mji,vina noise pollution ya hatari.
 
Wifu katika kiwango chake dogo ameongoza africa kwa kuingiza mshiko ww unakuja na ujinga gn
 
Wifu katika kiwango chake dogo ameongoza africa kwa kuingiza mshiko ww unakuja na ujinga gn

Ili uhakikishe ni wivu uliwahi kukutana na huu usafiri kwenye folen za dar? Isijekua nabishana na ntu yuko nantumbo
 
Hujaiona
 

Attachments

  • 1433962662694.jpg
    1433962662694.jpg
    72.6 KB · Views: 207
Aisee ni kweli vile vigari vikipita kuku wote wanakimbilia mabandani, mbwa wanabweka, ng'ombe wanalia, magari yenye alarm nayo.....yani utazani parapanda inalia.

damn damnnnn.... hahahaaaaa
 
Back
Top Bottom