Maajabu ya msanii Saida karoli .

Maajabu ya msanii Saida karoli .

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Najiuliza kwanini Saida karoli akitoa nyimbo zake zakihaya zinakuwa hit song...Lakin wasanii wamakabira mengine wanashindwa kusikika japokuwa nawenyewe wanafanya mziki wa Asili.

Maana ukimfatilia Saida Karoli Uko YouTube ana video zina Views wengi ..Kuna Ambayo ina views Million moja.....nazingine pia zinafanya vizuri.

Au hii nikwasababu Lugha ya kihaya inapendwa sana au upepo wa mziki umeelekea kwake?

Pia Saida karoli anapiga show nyingi nje ya nchi ..kama swideni ...nk.
 
Muziki mzuri hata uimbwe kwa kirigigoyo[wakenya watanielewa hapa] utapenya tu.

Unamjua Oliver wa Neria, unaongeleaje hiyo track.... Sarkodie my Rap king in Africa...

Anakuambia,

Ace lemme take you to Africa..
My people they love you...
I came here, you showed me some love and I promise to build you a statue, ....uh!

Ace Hood akwaaba
And Sark is a hell of a nation
Masigne wo din wo nKumasi,

Hata vingine sielewi but I love the song.
 
Muziki mzuri hata uibwe kwa kirigiyo[wakenya watanielewa hapa] utapenya tu.

Ahahahahahahaa hatareeeeee
 
Mtukudzi ni no ingine ile
 
Hapana ukweli ndo huo ananyota yake nyimbo zake znapendwa sana ata Wanyama alizibitisha hilo kwakudai hata akitoka mazoezin upenda sana kusikiliza nyimbo zake .Kiujumla yukovizr sema wajanja ndowalimtumia wakafaid zaid yake.

Sasa sema Saida ana kipaji hadimu, sio kwasababu Muhaya. Ingekuwa ukiimba kihaya ndio dili sijui kama kungekuwa na kibanda Tandika.
 
Muziki mzuri hata uibwe kwa kirigiyo[wakenya watanielewa hapa] utapenya tu.

Unamjua Oliver wa Neria, unaongeleaje hiyo track.... Sarkodie my Rap king in Africa...

Anakuambia,

Ace lemme take you to Africa..
My people they love you...
I came here, you showed me some love and I promise to build you a statue, ....uh!

Ace Hood akwaaba
And Sark is a hell of a nation
Masigne wo din wo nKumasi,

Hata vingine sielewi but I love the song.
Napenda za kinaijeria lkn kingereza chao na lugha zao sielewagi hata,lakin napenda ivo ivo
 
Watu wa misifa
Ukiacha kufikiria hvyo... Utapata jibu kwa nn kabila lako nyimbo zake hazi-hit kama za saida....

Saida kaloli.. Alitakiwa kupata uwekezeji kama wa kipindi cha MUTA... akafanya kwa asili akapiga kambi kwao akachukua madini akayaleta mjini.. Anazofanya kwa sasa zitampoyeza tenah hila yule mama ananyota

Kuna ndg aliwahi sikia nyimbo ya saida west Afrika lkn katika maelezo ya mwenye bar kwa mzungu aliyeulizia msanii ni nchi gani baada ya kupenda zile NGOMA.. Aliambiwa anatokea South africa.

Tanzania tujifunze kupenda vyetu na serikali wakati inafikilia kuwekeza kwenye viwanda(machine) iwekeze pia kwenye sanaa.... Sio kujinasibu kufungia wasanii tu hila iwaonyeshe njia za kutokea maana sanaa ni ajira isiyo itaji vyeti vingi...
 
Kwanza she is so real na hii ndo siri kubwa ya mwanamuziki duniani...Saida anaimba kwa sababu anapenda kuimba...kaibiwa sana..katapeliwa but still her spirit is lightning... kuna wahaya wengi wanaimba bt kamwe hawawezi kumfikia....kasome kidogo kuhusu musicians, musical na musical artists
 
We unafikiri anapendwa kwasababu anaimba kwa kihaya?? Jibu ni hapana. Saida ana kipaji cha kweli cha kuimba na kutunga hata angeimba kwa Kiluguru, Kimakonde, kikulya, n.k ange hit tu. Mbona wanaoimba kwa kihaya ni wengi tu lakini hawajulikani??

Yaani saida jinsi koo lake lilivyo ni ulemavu haitaji vocal training hata ukimuweka ndani asiimbe miaka mitano ukimtoa ataimba vile vile ni tofauti na wanamziki wengine ambao mazoezi ndo yanawasaidia kutengeneza sauti zao. Hiki ndo kinaitwa kipaji.
 
Wahaya kwa misifa!...mbona mi naona kawaida!
 
Back
Top Bottom