Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Una Tatizo la R na L kama Kada MkuuNajiuliza kwanini Saida karoli akitoa nyimbo zake zakihaya zinakuwa hit song...Lakin wasanii wamakabira mengine wanashindwa kusikika japokuwa nawenyewe wanafanya mziki wa Asili.
Maana ukimfatilia Saida Karoli Uko YouTube ana video zina Views wengi ..Kuna Ambayo ina views Million moja.....nazingine pia zinafanya vizuri.
Au hii nikwasababu Rugha ya kihaya inapendwa sana au upepo wa mziki umeelekea kwake?
Pia Saida karoli anapiga show nyingi nje ya nchi ..kama swideni ...nk.