DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Ahahahahahahaa hatareeeeeeMuziki mzuri hata uibwe kwa kirigiyo[wakenya watanielewa hapa] utapenya tu.
Unamjua Oliver wa Neria, unaongeleaje hiyo track.... Sarkodie my Rap king in Africa...
Anakuambia,
Ace lemme take you to Africa..
My people they love you...
I came here, you showed me some love and I promise to build you a statue, ....uh!
Ace Hood akwaaba
And Sark is a hell of a nation
Masigne wo din wo nKumasi,
Hata vingine sielewi but I love the song.
Watu wa misifaWahaya kwa kujisifia.
Hapana ukweli ndo huo ananyota yake nyimbo zake znapendwa sana ata Wanyama alizibitisha hilo kwakudai hata akitoka mazoezin upenda sana kusikiliza nyimbo zake .Kiujumla yukovizr sema wajanja ndowalimtumia wakafaid zaid yake.Wahaya kwa kujisifia.
Mtukudzi ni no ingine ileMuziki mzuri hata uibwe kwa kirigiyo[wakenya watanielewa hapa] utapenya tu.
Unamjua Oliver wa Neria, unaongeleaje hiyo track.... Sarkodie my Rap king in Africa...
Anakuambia,
Ace lemme take you to Africa..
My people they love you...
I came here, you showed me some love and I promise to build you a statue, ....uh!
Ace Hood akwaaba
And Sark is a hell of a nation
Masigne wo din wo nKumasi,
Hata vingine sielewi but I love the song.
Hapana ukweli ndo huo ananyota yake nyimbo zake znapendwa sana ata Wanyama alizibitisha hilo kwakudai hata akitoka mazoezin upenda sana kusikiliza nyimbo zake .Kiujumla yukovizr sema wajanja ndowalimtumia wakafaid zaid yake.
Napenda za kinaijeria lkn kingereza chao na lugha zao sielewagi hata,lakin napenda ivo ivoMuziki mzuri hata uibwe kwa kirigiyo[wakenya watanielewa hapa] utapenya tu.
Unamjua Oliver wa Neria, unaongeleaje hiyo track.... Sarkodie my Rap king in Africa...
Anakuambia,
Ace lemme take you to Africa..
My people they love you...
I came here, you showed me some love and I promise to build you a statue, ....uh!
Ace Hood akwaaba
And Sark is a hell of a nation
Masigne wo din wo nKumasi,
Hata vingine sielewi but I love the song.
Ni kweli aseehMtukudzi ni no ingine ile
Ukiacha kufikiria hvyo... Utapata jibu kwa nn kabila lako nyimbo zake hazi-hit kama za saida....Watu wa misifa