Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Una Tatizo la R na L kama Kada MkuuNajiuliza kwanini Saida karoli akitoa nyimbo zake zakihaya zinakuwa hit song...Lakin wasanii wamakabira mengine wanashindwa kusikika japokuwa nawenyewe wanafanya mziki wa Asili.
Maana ukimfatilia Saida Karoli Uko YouTube ana video zina Views wengi ..Kuna Ambayo ina views Million moja.....nazingine pia zinafanya vizuri.
Au hii nikwasababu Rugha ya kihaya inapendwa sana au upepo wa mziki umeelekea kwake?
Pia Saida karoli anapiga show nyingi nje ya nchi ..kama swideni ...nk.
Hakuna wapiga kelele kama nigeria lakini ukizisikiliza ngoma zao na flow za makelele ni lazma utaipendaMuziki mzuri hata uimbwe kwa kirigigoyo[wakenya watanielewa hapa] utapenya tu.
Unamjua Oliver wa Neria, unaongeleaje hiyo track.... Sarkodie my Rap king in Africa...
Anakuambia,
Ace lemme take you to Africa..
My people they love you...
I came here, you showed me some love and I promise to build you a statue, ....uh!
Ace Hood akwaaba
And Sark is a hell of a nation
Masigne wo din wo nKumasi,
Hata vingine sielewi but I love the song.
Muziki mzuri hata uimbwe kwa kirigigoyo[wakenya watanielewa hapa] utapenya tu.
Unamjua Oliver wa Neria, unaongeleaje hiyo track.... Sarkodie my Rap king in Africa...
Anakuambia,
Ace lemme take you to Africa..
My people they love you...
I came here, you showed me some love and I promise to build you a statue, ....uh!
Ace Hood akwaaba
And Sark is a hell of a nation
Masigne wo din wo nKumasi,
Hata vingine sielewi but I love the song.
Bezikale upo correct, mziki ni zaidi ya maneno. Ofkzi nyimbo ya Neria ni hatari kwa masikio ya wapenda burudani.Muziki mzuri hata uimbwe kwa kirigigoyo[wakenya watanielewa hapa] utapenya tu.
Unamjua Oliver wa Neria, unaongeleaje hiyo track.... Sarkodie my Rap king in Africa...
Anakuambia,
Ace lemme take you to Africa..
My people they love you...
I came here, you showed me some love and I promise to build you a statue, ....uh!
Ace Hood akwaaba
And Sark is a hell of a nation
Masigne wo din wo nKumasi,
Hata vingine sielewi but I love the song.
Rugha=lugha. Kinachopendwa ni muziki wake kwa ujumla wake si lugha. Anafanya MUZIKI kwa lugha ya kihaya au muziki wenye vionjo vya kihaya na si ngoma za kihaya per se. Mbona wakongo walituimbia kilingala na lugha za kwao na muziki wao tukaupenda sana tu. Huwezi kuimba hovyo hovyo tu kama nyimbo za lugha fulani kule kanda ya ziwa halafu upendwe.Najiuliza kwanini Saida karoli akitoa nyimbo zake zakihaya zinakuwa hit song...Lakin wasanii wamakabira mengine wanashindwa kusikika japokuwa nawenyewe wanafanya mziki wa Asili.
Maana ukimfatilia Saida Karoli Uko YouTube ana video zina Views wengi ..Kuna Ambayo ina views Million moja.....nazingine pia zinafanya vizuri.
Au hii nikwasababu Rugha ya kihaya inapendwa sana au upepo wa mziki umeelekea kwake?
Pia Saida karoli anapiga show nyingi nje ya nchi ..kama swideni ...nk.
Hahaha... haya bhnBezikale upo correct, mziki ni zaidi ya maneno. Ofkzi nyimbo ya Neria ni hatari kwa masikio ya wapenda burudani.
Akchware umesahau nyimbo ya baadhi ya Waganda akiwemo marehemu Redio.
By the way, "wahaya" ni kabila kubwa lenye wasomi wote. Kure kwetu ili uwe mkata majani wa ng'ombe zangu lazima uwe na degree ya animal feeding ya SUA au Denmark
Huku kwetu Mbeya tuna Awilo wa Mbeya nyimbo zake ni hit huku kwetu,ukitaka kujua Awilo ni nani subiri Mbeya City wawe na mechi hapa MbeyaNajiuliza kwanini Saida karoli akitoa nyimbo zake zakihaya zinakuwa hit song...Lakin wasanii wamakabira mengine wanashindwa kusikika japokuwa nawenyewe wanafanya mziki wa Asili.
Maana ukimfatilia Saida Karoli Uko YouTube ana video zina Views wengi ..Kuna Ambayo ina views Million moja.....nazingine pia zinafanya vizuri.
Au hii nikwasababu Lugha ya kihaya inapendwa sana au upepo wa mziki umeelekea kwake?
Pia Saida karoli anapiga show nyingi nje ya nchi ..kama swideni ...nk.
Wakati tunashabikia akina Pepe Kale na Kanda Bongo Man tulikuwa tunajua wanachokiimba? Kamaleiiii!Muziki mzuri hata uimbwe kwa kirigigoyo[wakenya watanielewa hapa] utapenya tu.
Unamjua Oliver wa Neria, unaongeleaje hiyo track.... Sarkodie my Rap king in Africa...
Anakuambia,
Ace lemme take you to Africa..
My people they love you...
I came here, you showed me some love and I promise to build you a statue, ....uh!
Ace Hood akwaaba
And Sark is a hell of a nation
Masigne wo din wo nKumasi,
Hata vingine sielewi but I love the song.
Oliver sio mnijeria ni mzimbabweNapenda za kinaijeria lkn kingereza chao na lugha zao sielewagi hata,lakin napenda ivo ivo
Ahaaa owkOliver sio mnijeria ni mzimbabwe