KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Wanatupa wakati mgumu tusiojua maana kusema tu kanunuliwa mi naona haitoshi! Kama wanajua hayo basi wanajua wao sisi wengine tunajua kafata upepo unapovuma! Unafikiria mnaweza mchangia kwa muda wa miaka 5 chakula,ada za wanae,maradhi na makazi..! Kama hamtakuja kumsengenya bure dada wa watu..😂watu wanajua wanachokifanya usiwaone hamnazo. wanajua mengi sana
Muda mwengine kujifanya mwema sana utaishia kuumia na kuaibika hao wanaosema leo ndo wakukusengenya kesho.. wacheni dada aume patamu.