Wanatupa wakati mgumu tusiojua maana kusema tu kanunuliwa mi naona haitoshi! Kama wanajua hayo basi wanajua wao sisi wengine tunajua kafata upepo unapovuma! Unafikiria mnaweza mchangia kwa muda wa miaka 5 chakula,ada za wanae,maradhi na makazi..! Kama hamtakuja kumsengenya bure dada wa watu..😂watu wanajua wanachokifanya usiwaone hamnazo. wanajua mengi sana
Roho mbaya haijengi Dada!Wanasiasa ni watu katili sana
Halima Muogope Mungu
Dah kumbe zile kelele bungeni ilikuwa funika kombe mwana apite...
Lakini Mungu ni visasi
Wakati utafika '
Wote nyie njaa tupu ukipewa pesa ushangilie CCM utafanya hivyoHaogopi hata kuambukizwa
Mwanasiasa ni kama kinyonga tu.Huyu na wenzie ndio waliochangiwa milioni 300 ndani ya 24hrs ili waepuke jela. Baada ya hapo wakavunjwa mikono na Bulaya wake.
Na meko anafaa kuwa nani,Halima anafaa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA, Mbowe hana jipya
Kawaida hiyo, sawa na Bernard Morrison kuifunga simba na baadae kusajiliwa simba. Huyo dada kasajiliwa kwa mkopo.Dahh!?!
Nadhani unakosea,Mimi nilikuwa CCM nilikuwa nalipwa fedha nimeachana na huo upuuzi muda mrefu uliopitaWote nyie njaa tupu ukipewa pesa ushangilie CCM utafanya hivyo
It doesn’t make lots of sense kuendeleza bifu na marehemu. Kuna watu husamehe “7X70” hasa kwa marehemu waliotangulia mbele ya haki
It hurts more to hold grudges than to forgive.
Ukisema wewe Mimi nanyamaza. Ulikuwa mpinzani wangu kwa hoja mpaka siku ulipobadilika nilikaa siku nzima bila kuandika chochote nikidhani wamehack akaunti yako. Ni kweli ulikuwa Mchungaji wa Mshahara.Nadhani unakosea,Mimi nilikuwa CCM nilikuwa nalipwa fedha nimeachana na huo upuuzi muda mrefu uliopita
Sasa hivi ujira wangu halali wala hauna najisi ya fedha za Wizi wanazoibiwa Wananchi
Na sasa tuko pamoja huku kwenye Mabomu ya machozi ndiko Mungu alipotuweka mpaka Ushindi utakapopatikana HAKI dhidi ya UDHALIMU na HAKI itaibuka Kidedea Trust meUkisema wewe Mimi nanyamaza. Ulikuwa mpinzani wangu kwa hoja mpaka siku ulipobadilika nilikaa siku nzima bila kuandika chochote nikidhani wamehack akaunti yako. Ni kweli ulikuwa Mchungaji wa Mshahara.
Amina, Amina, Amina.Na sasa tuko pamoja huku kwenye Mabomu ya machozi ndiko Mungu alipotuweka mpaka Ushindi utakapopatikana HAKI dhidi ya UDHALIMU na HAKI itaibuka Kidedea Trust me