Maajabu ya msiba, Halima avunja ukimya

Hili limepangwa lengo likiwa ni lilele la kumtukuza na kumfanya marehemu aonekane alikuwa anakubalika.

Wanatamani sana kuona wapinzani wakimsifu marehemu wanasahau Mdee si mpinzani tena.

Mdee hapo katumika.
Ile ahadi ya unaibu Waziri ndiyo imeota mbawa. Pole yake Mzee Mdee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…