Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
Huu mmea umepewa jina lisilo la kitaalam la kiingereza la "Pretence Dying Plant" Kiswahili "Kifauongo" Uko kwenye kundi la mimea inayofunga majani yake unapoigusa au inapohisi kishindo cha miguu ya mnyama. Kuna uhusiano gani wa Kisayansi kwa mmea huu usiokuwa na macho wala masikio lakini una hisia kama za mnyama (mamalia)? Inaaminika unatibu tatizo ambalo naliweka kwenye mabano hapa. Kweli MUNGU anatisha.