Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
Nguvu za kiumeHilo tatizo liko wapi sasa
Unatibu nini acha kutuweka ktk majaribu😂Huu mmea umepewa jina lisilo la kitaalam la kiingereza la Dying Plant. Kiswahili kifauongo. Uko kwenye kundi la mimea inayofunga majani yake unapoigusa au inapohisi kishindo cha miguu ya mnyama. Kuna uhusiano gani wa Kisayansi kwa mmea huu usiokuwa na macho wala masikio lakini una hisia kama za mnyama (mamalia)? Inaaminika unatibu tatizo ambalo naliweka kwenye mabano hapa. Kweli MUNGU anatisha.
View attachment 2066330
Kasome tabia za viumbe hai( sensitivity / irritability )
Characteristics of living things, hakuna maajabu.
Uuuwiii uko kwenye sayari hii hii ya dunia au?Mmea mla nyama (Carnivorous plant)View attachment 2066341
Wauza mimea kwenye bustani za biashara wanatakiwa kuchukuwa tahadhari kubwa kwa kupewa maarifa ya msingi ya Botania ili wawe salama na wahakikishe usalama wa wateja wao kwa kuwauzia mimea isiyo hatari kwao.Mmea mla nyama (Carnivorous plant)View attachment 2066341
anakula waduduUuuwiii uko kwenye sayari hii hii ya dunia au?
Kwahiyo ukikaa karibu nao unaliwa siyo?
Kuna mdudu atausogelea kweli?
Na je, unachavushaje maua yake bila mdudu?
Jamani MUNGU ana uumbaji wa kutisha!
Aisee... hadi nywele zinanisisimka...anakula waduduView attachment 2066358
anakula waduduView attachment 2066358
Poison hemlock plant (Conium Maculatum) mmea ambao ndiyo una sumu kali kuliko sumu zote duniani (uliotumiwa sana na kikundi cha Mafia kwenye mauaji ya viongozi duniani na uliotumika kumuua Socrates katika mwaka wa 399 BCE).
Mmea huu asili yake pekee ni Afrika Kaskazini ya Jangwa la Sahara (japo inaaminika Ulaya iliuchukuwa toka Afrika na kuukuza huko pia).
Baadaye umekuja kupandwa ugenini kwenye nchi za Canada, Asia, Australia na Majimbo yote ya US.
Sumu yake ni ghali sana duniani na inapatikana kwa magendo tu.
Kwingineko duniani umepewa kampeni kubwa kama mmea-gugu ili kuficha kilimo chake.
View attachment 2066361
Taswira kwa hisani ya google.
Hemlock poison haina antidote duniani. Waisrael pekee duniani ndiyo wanaaminika kugundua antidote yake lakini hawaiuzi hata kwa malipo ya kumfufua Musa wao (Nabii rafiki wa MUNGU), tena inasemekana wameprotect kwa sheria na sera exportation yake. Wanasubiri mkiishapigana sumu ya hemlock basi mbebane mjipeleke kwao wawaondolee kwa antidote hiyo ili muwalipe pesa nyingi.Kuna mti uko hifadhi ya Selous, huo mti ukifika chini wakati wa maua utakutana na ndege kama wote.
Una sumu hatari sana, wazee wa kule walikuwa wakigema utomvu wake ili kutengenezea sumu hatari ya kuua wanyama wakali au binadamu.
Ule mti ni noma . Ukiramba tu kwisha habari zako