Kweli waswahili husema ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni,,Hawa Simba wamekuwa kituko cha Karne!
Wamekuwa wakipiga debe kuwataka yanga waiheshimu mamlaka lakini Leo hii wanatoa kitamko chao uchwara kuwapiga mkwara bodi ya ligi kuwa awako tiyali kucheza mechi nyingine ikiahirishwa ya trh 15!
Unaposema aikubaliki kikanuni na kiutaratibu ni vipi ilikubalika kikanuni na kiutaratibu kughairisha mechi ya trh 8???
Alafu bodi yao aijatangaza chochote juu ya mechi ya trh 15 kama ipo ama aipo sasa wao mbona wanawashwa na kuielekeza bodi cha kufanya wakati walisema IHESHIMIWE?
Busara Ile Ile waliyoitumia bodi kuwasaidia kukimbia trh 8 ndio iyo iyo itatumika trh 15 kughairisha mechi na asihoji mtu yeyote!
Unawaambia mashabiki wakate tiketi sijui hizo tiketi wanazikata kwa mfumo upi na akuna utaratibu wowote uliotangazwa kama sio utapeli ni nini?