Maajabu ya mwaka msanii wa bongofava Rayvany kushinda tuzo ya nyimbo bora ya singeli ya mwaka mbele ya Dula Makabila na magwiji wengine wa singeli

Maajabu ya mwaka msanii wa bongofava Rayvany kushinda tuzo ya nyimbo bora ya singeli ya mwaka mbele ya Dula Makabila na magwiji wengine wa singeli

INJECTION TECHNICIAN

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2020
Posts
356
Reaction score
794
HIVI wataalamu. Wa tasnia ya muziki hii imekaaje kijana wetu RAYVANY (vany boy) ameshinda TUZO ya nyimbo Bora ya mwaka ya singeli inamaana Rayvany NI bora kuliko hawa wasinii weetu waliojikita katika ulimwengu wa singeli kama sio hujuma NI kitu gani ukiuliza utaambiwa mama anaupiga mwingi jaman tuwape motisha vijana wetu wazidi kupeperusha bebdera ya singeli vizuri hii nchi NI ya hovyo sana imeoza kabisa
 
Attachments

  • Screenshot_20241021-143328.png
    Screenshot_20241021-143328.png
    414.2 KB · Views: 3
Kwani hao ulie wataja na huyo alie shinda, ni wanamziki wa nchi gani..samahani kidogo nikuulizee swali nitajie nyimbo mbili za rayvany na tafuta nyimbo mbili za dula makabila halafu ndo utapata jibu kwamba Nani nyumba singeli na Nani nyumba bongo flava
Wote NI wa tz Ila we unamtambua rayvany kwa kuimba singeli!!!!
 
Zile tuzo naziona kama maandalizi ya kampeni za mwakani 2025, CCM wamewafurahisha wasanii wao watakaowatumia kwenye kampeni.
Tuna serikali ya hovyo sana kila kitu kinaingiziwa na siasa tutafika mbinguni tumechoka sana
 
HIVI wataalamu. Wa tasnia ya muziki hii imekaaje kijana wetu RAYVANY (vany boy) ameshinda TUZO ya nyimbo Bora ya mwaka ya singeli inamaana Rayvany NI bora kuliko hawa wasinii weetu waliojikita katika ulimwengu wa singeli kama sio hujuma NI kitu gani ukiuliza utaambiwa mama anaupiga mwingi jaman tuwape motisha vijana wetu wazidi kupeperusha bebdera ya singeli vizuri hii nchi NI ya hovyo sana imeoza kabisa
Mambo ya Grammy awards
 
Kwani Bwana Rayvanny hana nyimbo hata moja ya singeli? Kama anayo nadhani hakuna shida, kungekuwa na ukakasi kama angeshinda tuzo ya msanii bora wa singeli.
 
HIVI wataalamu. Wa tasnia ya muziki hii imekaaje kijana wetu RAYVANY (vany boy) ameshinda TUZO ya nyimbo Bora ya mwaka ya singeli inamaana Rayvany NI bora kuliko hawa wasinii weetu waliojikita katika ulimwengu wa singeli kama sio hujuma NI kitu gani ukiuliza utaambiwa mama anaupiga mwingi jaman tuwape motisha vijana wetu wazidi kupeperusha bebdera ya singeli vizuri hii nchi NI ya hovyo sana imeoza kabisa
Jopo la kuchagua na vigezo vyao ni vilevile, ku single out wimbo mmoja wa msanii mmoja nadhani una grudges binafsi na msanii husika otherwise ulalamikie mtiririko mzima(system) na chaguzi zao zote.
Huyo uliyemtaja ameshawahi kuimba single au kachomekwa tu hata hata track moja ya singeli hivyo hakupaswa kuwa kwenye hiyo category au anayo ila wewe binafsi hauikubali kiwango chake?
My take; Hivyo vitu vya kuchaguana bila kipimo maalum ie; number of streams kwenye digital platforms au number of views kwenye YouTube lazima kutakuwa na makandokando mengi si kwa huyo Vanny Boy peke yake bali almost kila msanii aliyeshinda. Mapenzi binafsi ya wahusika kwenye jopo la kuchagua huwa ndiyo kigezo kikubwa labda na kujaribu ku-balance kwa kuogopa kelele za wananzego.
 
Back
Top Bottom