Maajabu ya mwanamke yaliyowashinda hata wanafalsafa kuelewa

Nimeisoma nikiwa nimetulia sana na yote yanayosemwa ni ya kweli tupu na ndiyo maana nimeona baadhi ya wanawake humu wamekasirika na hawapendi kuona tunajifunza mambo haya.
Shukrani Kwa mleta mada maana Mimi sikuwahi kuisoma natafuta namna ya Ku save.
 
Mwanamke ni kiumbe ambae unaweza hata Kumla Kijambio chake kwa kumuahidi ndoa kwa maneno tu.
 
ukweli mtupu😐
 
Kuna mke wa mtu hapa yupo kwenye ndoa zaidi ya miaka 10, na ni mwimbaji wa makanisa ya kiroho na ana nguvu ya Mungu kweli,
Miezi minne imepita kaletewa maua na mchungaji wa kanisa lingine, ninayoyashuhudia sasa hivi siamini yaan wana mpango wa kuoana eti, (niliona chatting zao kwa simu ya ke).

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Haya mambo hayanaga waimba gospo wala nn..basi tu kwakweli....hahaa kwamba yuko ndoani anapanga kuolewa tena😂😂
 
Yaani alivyokua mcha Mungu na ana nguvu za Mungu sana akiongoza ibada ya kuabudu, sikuamini niliyoyaona, kisa maua tu!!


Sent using Jamii Forums mobile app


Ndo tunarudi kule kule...sie ni viumbe dhaifu...na ukute mmewe hajawah ht mletea kizawadi ht kdg...wapo busy for nuthng...!
kuna kipindi rafiki angu 1 alinitmia zawadi Abood..yy aliiona ndg..jaman ule mfuko aloandika jina langu na namba mpk leo ninao😂😂😂 its 2yrs nw...!nilikua nauweka kila pahala nikiuona hv dah😛😛...!mbadilike
 
Jamaa ana ela sema umri wamepishana sanaaa,
Kamfungulia maduka mawili kkoo, wana watoto wa3 na gari za kutembelea zipo, basi tu tamaa kasahau yote hayo.

Kwa hii tredi na tabia ya huyu dada, naona dalili ya miaka 5 mbeleni ntaacha mke na siishi na mwanamke yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We umeoa ao labda unaongelea mambo ya friendship girlfriend na boyfriend!?
 
Nina mke na watoto mwaka wa kumi na moja sasa,ulitaka kusemaje labda?
We umeoa ao labda unaongelea mambo ya friendship girlfriend na boyfriend!?

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Nina mke na watoto mwaka wa kumi na moja sasa,ulitaka kusemaje labda?

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Nacho kusudia ni kwamba ,,wanawak wakorofi kinoma boss na ukiwa na hiyo ideology ya kwamba akisumbua una mu keep left unaondoka na mwingine utakuta umemaliza wanawake wa duniani woote kwa kuwaoa!!
 
kazi yako wewe ni kuishi nao kwa akili yote uliyoyasema hapo juu ni ukweli mtupu ila sasa ndio hakuna namna yaaan mda mwingine tunafanya mambo mpaka wenyewe tunabaki tunajishangaa kwa mfano mimi mwenyewe kuna jambo nimemfanyia mume wangu niko nasoma hii thread nimajikuta mtu ovyo kabisa sijui hata kwa nini nimefanya hivyo
 
Nacho kusudia ni kwamba ,,wanawak wakorofi kinoma boss na ukiwa na hiyo ideology ya kwamba akisumbua una mu keep left unaondoka na mwingine utakuta umemaliza wanawake wa duniani woote kwa kuwaoa!!
Sibadilishi wanawake,niliye naye ni huyo huyo na shule yake ndefu lakini alishanyoosha mikono,kawa mpole.naposema kumuacha keepleft ni pale akitokea kuleta usumbufu wowote ule wa maudhi au kukosa uaminifu.

Mwanaume lazima uwe Mwanaume wa kweli na inawezekana.mimi ni Mwanaume wa Kisukuma wa kweli na si wa kuchovya.muelewe ya kwamba wanawake hua wanapima madhaifu ya wanaume,unakuta Mwanaume kapata msukosuko ofisini au eneo lolote la kazi na anarudi nyumbani kwa mkewe analilia kama litoto,mwaume mwingine habebi majukumu kama mwanaume,muoga muoga tu..

unadhani Mwanaume ukiwa hivyo mwanamke si atacheza na akili yako?na usipokua makini anakushinda na unamuacha. Mwanaume gani mpaka ushindwe kujisimamia?lakini nakuambieni hayupo mwanamke anayeweza mshinda Mwanaume iwapo wanaume wataishi kwa kubeba uhalisia.

Narudia tena, mimi mke wangu ananizidi shule kwa maana ya madarasa kama ni umbali ni kutoka hapa Mwanza to Singida, lakini nilishamvuruga akili hana hamu. Hakipo anachofanya kwenye maisha yetu juu ya maendeleo isipokua mimi mwenyewe tu na anapata anachotaka, kiufupi anaishi na Commando na anajua hilo

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…