Kaka umemwaga data tu ujatoa analysis na kuleta info yoyote ya maana! Heb kwa hizo data leta tatizo tujue ni nn?I mean elezea ulikua unataka kutujulisha nn na izo namba zako
Mimi nina rafiki yangu alituma maombi hapo UDOM kwenye nafasi ya Administrative officer,nilipoona haya majina nikagundua kuwa hizi ni siasa,nimemwambia asije tu maana anapoteza muda wake,hapo kuna udini na watu wanapeana kazi kwa ground za kidini sana...hiki kitu kinaniuma sana basi tu,watu watapoteza pesa zao kwa kitu ambacho hawatafanikiwa kabisa...kumbuka hapo kila mkubwa ana watu wake kama watano hivi...sasa wewe mkulima kama mimi utapigana kweli?