Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Wakati bado hamjaoana yani wenyewe ile wanaita 'mnachunguzana' huku mara moja moja mnakutana uwanja nyutro kufanya yenu, hapo mkikutana lazima kiwake sana mta.ti.ana kutwa kucha hadi m.b0..0 inataka kunasia ukouko.
Hadi mzee unasema yes hiki ndo chuma sasa ngoja nijimilikishe nitwae mazima niweze ndani. Lahaulah hapo ujue imekula kwako.
Maana hapo sasa ndo sarakasi manyokanyoka na visingizio visivyoisha vinapoanza. Si ajabu kuyaskia baadhi ya maneno kama haya hapa
Unakuja kutahamaki mwezi umekata mzee hujapata tendo hata mara moja licha ya kujiliza kila uchwao.
daah 😯😯
hawa kataa ndoa wana matatizo yao lakini kwa upuuzi huu s'tyms kama unawaelewa flani hivi hata kama ni kimoyomoyo

- leo mm siko kwenye mood
- nipo kwene siku zangu
- npishe, nimechoka mie[hapa anabetua mdomo juu kabisa]
- leo sijisikii tu