Maajabu ya neno pepsi

Maajabu ya neno pepsi

Pepsi ni jina la kinywaji aina ya soda ila uki tulia kwa makini na ukalifanyia utafiti wa jina hilo linatisha vibaya.
Nilicho gundua mimi katika pepsi ni maneno tofauti na awali.

siku moja nili kuwa nakunywa soda aina ya pepsi huku nina mawazo tele kichwani nikaanza kuigeuza chupa chini juu na kusoma nika pata maana, nikaigeuza wima na kusoma kiarabu na yenyewe ipo maana.nika soma kwa namba ipo maana zaidi ya moja.
CHEKI hapo chini.

Pepsi =is ded

pepsi= is 666

pepsi=12969

jamani pepsi ni hatari kwa afya zetu.

mfano chukua mfupa wa kuku ingiza kwenye pepsi wacha masaa 24, kisha rudi kautazame kama uta ukuta.Au tia msumari ktk pepsi acha saa 24 halafu kaangalie katika chupa kama uto kuta kutu.
Jamani ni kifo hicho kwenye soda
pepsi=is pep
Kwani tumboni kuna mifupa na misumari? Ungesema labda mtu anawe miguu na mikono kwa pepsi akipata madhara kwenye ngozi au kwenye nyama ndio uwe na haki ya kutoa conclusion, sasa mifupa na misumari wapi na wapi ..!!
 
Back
Top Bottom