Maajabu ya ngono

Punguza utundu....!

Aahahahahhaaa Azarel jamani nimefanyajeeee....

Yaani najikuta tuu vidole vimeandika aahahahaahaaa

Kwani na wewe umeshikwa na sulikha ya morning glory??!!

Halafu siku nyingi sijapata yenye kinyama kwa chini aka kikunio cha kimasai.....

Wacha nifanye mpango wa kwenda kutembea Arusha na viunga vyake Hydom, Manyara, Karatu n.k.

Habariinyooo, takwinyaaa baba yeyooo Azarel. Tanipokea nikija tembelea boma ya baba yeyooo...!!??
 
Wakati unavaa hayo manguo yoooote mi nakuwa nimefungwa mikono au[emoji848][emoji848]
 
Huyo jamaa atakuwa anaufanisi mkubwa sana knife maana hana stress kbs sie wengine tunamalizage zetu huko huko maofisi ni maana nyumbani signal hazishikikbs u kimgusa ni kipepsi tu

Aahahahahaa ati ukigusa tuu kipensi, sasa acha nikwambie kuna kitu hakiko sawa, ukikuta kipensi kitandani na hukumbuki kuwa na ugomvi wowote na hata kama unakumbuka.... msogelee ndani ya shuka anza kujiongelesha kwa sauti ya Mahaba (waweza imba wimbo wa mapenzi au wa kilugha au kuongea kitu cha utani chenye kufurahisha kitachomfanya atabasamu) huku ukiwa unamtomasa tomasa na kumpapasa polepole sehemu zingine za mwili wake, ukiona signal zinaanzankushika unaanza kumbusu maeneo ya shingoni shavuni shuka kifuani......
Halafu tafuta kumtizama usoni kwa macho ya huba hata kama kuna giza utaziona tuu mboni zake, kumbuka usitumie nguvu wala mabavu na usijarakishe kuchomeka mtulinga...
Ujiongeze kutumia sanaa ya Mahaba kiasi kwamba ukishusha kibukta ananyanyuka juu ishuke na hapo unatawala jukwaa utakavyo ila usicheue hadi yeye anyooshe mikono juu kuwa sasa basi na unaona kwenye macho yake kuwa yuko hooii hapo sasa mwaga nawe ulale usingizi mnonoo...

Kila la kheri.

K’ Mahaba Matata.
 
Love making ni njia mojawapo ya kutuliza msongo wa mawazo, hivyo ni jambo lipo kwa kila mtu na hata wanyama...
Habari zenu wakuu, natumai hamjambo.

After sex akili huwa na utulivu wa pekee sana...hivyo najiuliza hali hii hutokea kwangu pekee, au hutokea kwa wengine pia?

TUJUZANE WAKUU.
 
Wakati unavaa hayo manguo yoooote mi nakuwa nimefungwa mikono au[emoji848][emoji848]

Aahahahahhaaaa wee Alvin weewee... eeheheheehheee

Napata picha mie navaa skin tite wewe unanivua, navaa chupi unaishusha aahahahahaa navaa kanyela mumo unaivua 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa ukiwa unafanya yote haya kusema huna mchepukoo au unataka tuu nisilale usingizi wangu wa asubuhi? Hivii nyie wanaume hamjuagi utamu wa usingizi wa kuanzia saa kumi alfajiri hadi saa kumi na moja.... hizo morning glory sex mngeishia usiku tuu na kuhamishia evening sex...
Asubuhi tukumbatiane tuu kumalizia usingizi sio kuanza kukwichikwichi 😅😅😅😅

Ikibidiii saanaaa yaani hadi mtu ajue udhaifu wangu ulipo, ndo ntajikuta tuu namuachia apige morning glory laah sivyo sitalala na yeye hatapiga tutasumbuana hadi panakucha na mie ntakuwa nimemuna maana sijamalizia usingizi wangu 🤣🤣🤣🤣🤣

Matata K
 
Mchepuko unanihusu
 
Ukija karatu nitafuatilia japo nikuchomee nyama tu

Woow, japo si mpenzi sana wa nyama choma ila kwa maneno yako umenipa hamasa ya kuja Karatu. Niembie siku unazokuwa na nafasi napenda nione tangu unaandaa nyama, unaichoma mpaka inaiva tunakula wote. Mie ntapita sokoni nije na mazagazaga ya kachumbari kisha ntatengeneza kachumbari ya kutosha na ntakuja na wine 🍷 red sweet one, kama hutatumia hiyo uandae kinywaji chako.

Ila isiwe kipindi cha mvua tafadhali sipendi matope na ubovu wa barabara nachoka kukanyaga clutch kubadili gia.

Matata K.
 
Ukija karatu nitafuatilia japo nikuchomee nyama tu
Heeley kuwa wataka upike wote ambaye unataka hoteli siku hiyo tuwe sisi wawili tu au tujichanganye na watasha maana huko kuna mchimba a hatari
 
Kumbe wataka tupike wote ngoja nitafute chimbo la watu wachache au sisi wawili tu na mfanyakzi mmoja maana huko kuna mchimba a hatari
HAPO sasa umenipata nakuchanganyia madikodiko kisha kishi namarinate nyama ya kondo jike au nyama pori Utachagua mwenyewe.... nabook chumba kinachoangalia kwenye view
 
Kile cha Morning glory kipo poa asubuhi unaenda job mwepesiii, mchangamfu, furaha Tele hata kazi zinaenda. Kila muda unatamani uone text yake!
 
Heeley kuwa wataka upike wote ambaye unataka hoteli siku hiyo tuwe sisi wawili tu au tujichanganye na watasha maana huko kuna mchimba a hatari

Sijakuelewa naomba uandike tena unieleweshe....
 
Kwa upande wangu kuliko morning glory, nenda tuu kwa mchepuko.

K’ Matata.
Naenda kwa mlima wa moto kwa mamaLwakatare ntakuja na msaidizi wako yeye morning glory we evening session
 
Uwa unanifurahisha sana mpendwa 😘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…