Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Punguza utundu....!
Aahahahahhaaa Azarel jamani nimefanyajeeee....
Yaani najikuta tuu vidole vimeandika aahahahaahaaa
Kwani na wewe umeshikwa na sulikha ya morning glory??!!
Halafu siku nyingi sijapata yenye kinyama kwa chini aka kikunio cha kimasai.....
Wacha nifanye mpango wa kwenda kutembea Arusha na viunga vyake Hydom, Manyara, Karatu n.k.
Habariinyooo, takwinyaaa baba yeyooo Azarel. Tanipokea nikija tembelea boma ya baba yeyooo...!!??