Nakubaliana na wewe mkuuMshambuliaji mpya wa simba papaa niang mdogo wa mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya senegal mamadou niang jana alicheza dakika 45 mechi dhidi ya mwadui fc na kuweka record ya aina yake, mchezaji huyo alifanikiwa kupiga cross moja tu, hakupiga shuti hata moja iwe off target wala on target, alikuwa anaogopa kukaa na mpira hata sekunde tano wakati yeye ni mshambuliaji wa mwisho. kwakweli ni mara 100 kubaki na maguli kuliko huyu msenegal wa bei chee, hii ni oil chafu kutoka senegal(nape's voice). viongozi wa simba mnaipeleka timu shimoni
Sasa anakuja ndugu yake na Alhaj Diof. Mbona tutakoma mwaka huu
Kwani usajili si umefungwa?
yule mchezaji nadhani jana alicheza akiwa na haja KUBWA
Kwani usajili si umefungwa?
Kuna uzi humu alisifiwa huyo jamaa eti kwa kumuangalia kwenye you tube!
Simba bado sana
kocha yule fitness tu ndo mzuri
tactic hamna kitu
wachezaji wana kariri tu kupiga krosi
mpira wa krosi wa kiingereza haundani na mpira wa kitanzania
kulikuwa hakuna pasi zinazofika saba
washambuliaji wa kati hawapati mipira kabisa hasa beki za timu pinzani zikiwa vizuri
watawaona wachezaji wote bomu,tatizo ni kocha