Maajabu ya rangi: waweza kuitumia kama mbadala wa wallpaper ukutani

Maajabu ya rangi: waweza kuitumia kama mbadala wa wallpaper ukutani

mjasiliaupeo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2013
Posts
2,170
Reaction score
3,107
Habarini ndugu wanajukwaa.
leo nawaletea huu ujuzi mpya wa kutumia rangi kama mbadala wa wallpaper, hii ni sanaa ya kutumia stencil katika kupaka rangi, aina hii ya upakaji rangi hutumia rangi za kawaida za majumbani, na kupakwa kiutaalamu na kuuacha ukuta wako ukiwa na mwonekano mzuri na wakuvutia zaidi.
ikiwa inafaida zaidi ya wallpaper kama.

1. Rangi ni gharama nafuu ukiringanisha na wallpaper.
2. Rangi hudumu zaidi ya wallpaper(hudumu zaidi ya miaka mitano)
3. Ni rafiki na maji ie. unaweza kuosha ukuta wako endapo utachafuka, tofauti na wallpaper ambazo ni karatasi

Baadhi ya kazi zilizofanyika kwa rangi za kawaida na kuacha muonekano wa wallpaper.


Untitled-3.jpg

juu ni picha kabla na baada ya kupakwa rangi.

b79b47f8d18aeb19c30cb8a327271c15ce150b2f.jpg
74eed180e1006f0fa6a18766cc0c70623159a2d3.png


Hii ni njia rahisi na rafiki wa mazingira yetu ya kupendezesha ukuta wako kwa gharama nafuu kabisa.

kazi zaidi
IMG-20151231-WA0007.jpg
IMG-20151231-WA0005.jpg
IMG-20151231-WA0005.jpg
IMG-20151231-WA0000.jpg
IMG-20160712-WA0002.jpg
IMG-20160715-WA0003.jpg
IMG-20160715-WA0002.jpg


tunapatikana kwa simu namba 0713553387, au [email protected]
 
Mkuu ingekuwa si mbaya kama ungetuwekea estimation cost kwa sqm kadhaa.

gharama yake in range kuanzia tsh 7,000 to 9,000 kwa square metre ikiwa ni gharama ya materials pamoja na ufundi, (hii ni kwa wateja wa kazi kuanzia sq40 na kuendelea), gharama ya kupaka ukuta mmoja kama picha inavyojieleza ni tsh 130,000 (pia inajumuisha materials pamoja na ufundi) karibu
 

Attachments

  • IMG-20160715-WA0003.jpg
    IMG-20160715-WA0003.jpg
    162 KB · Views: 238
gharama yake in range kuanzia tsh 7,000 to 9,000 kwa square metre ikiwa ni gharama ya materials pamoja na ufundi, (hii ni kwa wateja wa kazi kuanzia sq40 na kuendelea), gharama ya kupaka ukuta mmoja kama picha inavyojieleza ni tsh 130,000 (pia inajumuisha materials pamoja na ufundi) karibu

Asante sana,bei inaridhisha sana Mkuu.
 
IMG-20160115-WA0005.jpg

karibuni sana kwa finishing ya rangi ya kuvutia

IMG-20160115-WA0004.jpg

karibuni sana 0713553387
 
Back
Top Bottom