mjasiliaupeo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2013
- 2,170
- 3,107
pia tunatumia rangi za kawaida as materials
Mkuu ingekuwa si mbaya kama ungetuwekea estimation cost kwa sqm kadhaa.
yes tunafika, ukiwa tayari tupigie,, karibu sanaNimeipenda nitawatafuta je hata mikoani mnawezakuja?
Nimechukua mawsiliano yenu nikiwa tayari nitawapigia.yes tunafika, ukiwa tayari tupigie,, karibu sana
asante...karibuHongereni sana. Nimependa kazi zenu nitawatafuta...
gharama yake in range kuanzia tsh 7,000 to 9,000 kwa square metre ikiwa ni gharama ya materials pamoja na ufundi, (hii ni kwa wateja wa kazi kuanzia sq40 na kuendelea), gharama ya kupaka ukuta mmoja kama picha inavyojieleza ni tsh 130,000 (pia inajumuisha materials pamoja na ufundi) karibu
ASANTE SANA, KARIBUWaoo kaz nzuri sana daah ngoja Nyumba yangu iwe tayari niwatafute
hapana, Mwanza hatuna ofisi.. ola huduma zetu zinafika pia.. karibuMwanza mna ofisi au tawi?