Kipato cha mbunge...
Mbunge analipwa mshahara wa
sh 3,800,000 kwa mwezi, Anapata posho
sh 8,000,000 kila mwezi, jumla
11,800,000.
Akiwa kwenye kikao analipwa posho ya kikao
sh. 240,000 na posho ya kujikimu sh.
120,000, jumla
360,000.
Kwa kuwa Bunge la bajeti linakaa kwa miezi mitatu, akihudhuria vikao vyote anapata
32,000,000 (wastani wa
10,000,000 kwa mwezi)
Katika miezi mitatu ya bunge la bajeti Mbunge ana uhakika wa kukunja
22,000,000 kila mwezi.
Kwa kifupi ni kwamba wanavuna kwenye shamba ambalo hawakushiriki kulilima.
Na hapo hatujaongelea...
- Mkopo wa gari ............................. 90,000,000!
- Kiinua mgonggo......................... 240,000,000!