Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,436
- 7,955
Naunga mkono hoja. Kumekuwa na upandishwaji wa kisiasa zaidi katika sekta ya umma pamoja na kwamba kupandishwa vyeo watumishi siyo haki yao ya kiutumishi, isipokuwa ni hisani ya mwajiri.Mi naona bora msipandishwe hata hayo madaraja maana hakuna la maana mnafanya, hakuna uzalendo kwa nchi yenu mmejaa uzembe na utoro. Shame on you
Uzalendo bila hela ni uchawi mkuu watumishi wa umma ni wazalendo sana sema kwasababu wanasiasa wanawatumia kuwadidimiza ili waonekane wazembe lakini wana mambo yao mengi hayapo sawa wanaishi kwa shida sana.Mimi naona bora msipandishwe hata hayo madaraja maana hakuna la maana mnafanya, hakuna uzalendo kwa nchi yenu mmejaa uzembe na utoro. Shame on you
Wanasiasa wapo wangapi na wana siasa ni wangapi? huko ni kukosa akili na umojaUzalendo bila hela ni uchawi mkuu watumishi wa umma ni wazalendo sana sema kwasababu wanasiasa wanawatumia kuwadidimiza ili waonekane wazembe lakini wana mambo yao mengi hayapo sawa wanaishi kwa shida sana.
Mtu anapandishwa daraja yupo maternity leave mwingine masomoni, vigezo vyenyewe ni vya hovyo mtu anasubiri miaka 3 anajua atapata hata ni mlevi na mzembe, hakuna upimaji wa wazi zaidi ya kujuanaNaunga mkono hoja. Kumekuwa na upandishwaji wa kisiasa zaidi katika sekta ya umma pamoja na kwamba kupandishwa vyeo watumishi siyo haki yao ya kiutumishi, isipokuwa ni hisani ya mwajiri.
Maana yake Mwajiri akiridhika kuwa mtumishi amemfanyia kazi nzuri anaweza kumpandisha cheo kama shukrani.
Pole mtumishi wa umma,Hakuna kitu kinaumiza kama kusubiria malimbikizo ambayo ni jasho la mtu kulitumikia taifa hili! Watu ni kama wanalazimishwa kukopwa bila kujua watalipwa lini!
Serikali mbona mnaonea hivyo wanaodai malimbikizo? Mnapandisha madaraja mnalipa! Ila wenye malimbikizo ya miaka wala hamlipi hii ni dhambi kubwa sana.
Ulishawahi kuona mwanasiasa ameenda sehemu anawauliza watumishi changamoto zao kabla ya kuwawajibisha kwa mfano swala la maji DAWASA inadaiwa ni malimbikizo ya posho za wafanyakazi kwasababu asilimia kubwa pale DAWASA wanafanya kazi za kujitolea yaani vibarua hvyo wanadai pesa zao mkuu wewe unaweza ukawa na ari ya kazi kama huna pesa hakuna hata kiongozi mmoja anayewasikiliza watumishi kila mtu anawatumia kisiasa ari ya kufanya kazi unaiotoa wapi yaani mwanasiasa anakaa bungeni miaka mitano kiunua mgongo chake ni million 250+ halafu mtumishi anafanya kazi miaka 40 akistaafu anapewa million 60 what a joke mkuuu siku zote kabla ya kuhukumu jaribu kuangalia pande zote mbili watumishi sometimes na wao ni binadamu ujue sio maroboti.Wanasiasa wapo wangapi na wana siasa ni wangapi? huko ni kukosa akili na umoja
Mkuu unapokuwa mtumishi wa umma inabidi kuwa na uelewa mpana sana kabula ya kuilaumu serikali,aliyepanda daraja mwezi wa sita,na mwengine mwezi wa saba,huyu wa mwezi wa saba hawezi dai malimbikizo ya daraja kwa kuwa hana barua ya kuthibitisha madai hayo,au wewe tayari umeshapewa barua ya kupanda cheo/daraja?Hakuna kitu kinaumiza kama kusubiria malimbikizo ambayo ni jasho la mtu kulitumikia taifa hili! Watu ni kama wanalazimishwa kukopwa bila kujua watalipwa lini!
Serikali mbona mnaonea hivyo wanaodai malimbikizo? Mnapandisha madaraja mnalipa! Ila wenye malimbikizo ya miaka wala hamlipi hii ni dhambi kubwa sana.
Acha roho mbaya wewe acha watu wapandishwe vyeo. Hivi kwa akili yako siku ukilipwa watu waandamane kupinga usilipe sio. Wewe pambania haki yako na wengine wapate stahiki zao.Hakuna kitu kinaumiza kama kusubiria malimbikizo ambayo ni jasho la mtu kulitumikia taifa hili! Watu ni kama wanalazimishwa kukopwa bila kujua watalipwa lini!
Serikali mbona mnaonea hivyo wanaodai malimbikizo? Mnapandisha madaraja mnalipa! Ila wenye malimbikizo ya miaka wala hamlipi hii ni dhambi kubwa sana.