Maajabu ya shule ya Msingi Kiomboi Bomani

Na sisi tulitaka tushangae ili tujue namna gani ya kuchangia

Wewe ulivyoona ukashangaa, sisi hatujaona halafu tunakuomba picha ili nasi tushangae, we unakataa halafu unataka tushangae bila picha, Kiukweli inashangaza sana
Mmmmmhhh
 
Sisi tupo tunaambana na corona, we unaleta huu uozo hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wangefanyiwa self isolation kabisa
kila mtu afanye kazi nyumbani kwake hakuna kuonana
 
nilishauri hapa jana kuwa hawa walimu wanawake waanze kuajiriwa kuanzia umri wa miaka 35, mkaniponda na kuukaushia uzi wangu mpaka sielewi hata ulikopotelea. endeleeni kushuhudia nyie wenyewe!!!
ila hawa viumbe wana shida sana makazini
wakishakua wanawake wa3 sehemu moja basi ni vurugu tupu
sijui hali gani huwa inawakumba yaani ni mashindano out of nowhere
 
ila hawa viumbe wana shida sana makazini
wakishakua wanawake wa3 sehemu moja basi ni vurugu tupu
sijui hali gani huwa inawakumba yaani ni mashindano out of nowhere
kabisa, wanashangaza sana!
 
Na sisi tulitaka tushangae ili tujue namna gani ya kuchangia

Wewe ulivyoona ukashangaa, sisi hatujaona halafu tunakuomba picha ili nasi tushangae, we unakataa halafu unataka tushangae bila picha, Kiukweli inashangaza sana
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ni Tanzania hii au??
Maana navyojua mimi shule zote zimesitisha shughuli za kimasomo kwa walimu na wanafunzi
 
Ni Jambo zuri mbona,tena linapaswa kuwa nchi nzima
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Mtatupa gonjwa la moyo, nimekuja mbio shule yangu imepatwa na maajabu gani, kumbe uniform hilo nalo ni ajabu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwalimu aliacha ualimu baada ya kusomea accounts alikuwa ansema walimu ni kama watoto wadogo, akili zao huwa hazikui. Sidhani kama ni kweli lakini, hayo yalikuwa maoni yake juu ya walimu wenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…