Maajabu ya shule ya Msingi Kiomboi Bomani

Yanashukuru kwa taarifa Mwalim wa Kiomboi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwalimu aliacha ualimu baada ya kusomea accounts alikuwa ansema walimu ni kama watoto wadogo, akili zao huwa hazikui. Sidhani kama ni kweli lakini, hayo yalikuwa maoni yake juu ya walimu wenzake.

alikuwa sawa kabisa, ukimkuta mwalimu mwenye kujitambua anakuwa tofauti na wenzie hata kimaisha kwa mfano amejenga au amepanga nyumba nzuri na ana vimiradi vyake angalau hata kubanda cha kuuza nyanya anapata vijipesa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saivi naona kila mwalimu ana duka la rejareja au M pesa. Wanajitahidi walau.
 
Kwani kubadilisha nguo ni kosa? Au nguo hazina maadili? Out of story

Mliobahatika kuishi singida hebu tuelezeni Hali ilivyo maana kuna anco yangu kazamia huku 10 years hajawahi rudi home

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HATA ARUSHA KUNA SHULE WALIMU WAKE WANAVAA UNIFORM KILA SIKU KUNA UNIFORM YAKE KWA KWAKO WEWE NDIO MAAJABU KWA SISI WENGINE NI KITU CHA KAWAIDA
Hata mimi shule ya msingi niliyo soma walimu wa kike walikuwa wanavaa uniform, walimu wakiume walikuwa wawili tu walikuwa wanavaa wanavyo taka
 
Tupia kapicha na namba ya mwl mmoja aliyependeza sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…